TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Pia Wataalamu wa IT if possible wangekuja na namna ya kurahisisha suala la ununuzi wa units za LUKU kwa maana ya mteja anaponunua units kwa simu ziwe na uwezo wa kuingia moja kwa moja kwenye mita badala ya kulazimika kutumia kile kidubwasha cha kuingiza units kwenye mita. Hi itaongeza kasi ya manunuzi na hata matumizi interms of/in-relation to TIME FACTOR.
 
Pia Wataalamu wa IT if possible wangekuja na namna ya kurahisisha suala la ununuzi wa units za LUKU kwa maana ya mteja anaponunua units kwa simu ziwe na uwezo wa kuingia moja kwa moja kwenye mita
Soma uzi wangu hapo chini;

Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.

Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho.
Tumepokea ushauri tunashukuru sana mpendwa mteja wetu

TANESCO , Makao Makuu
 
Soma uzi wangu hapo chini;

Same thinking. Hili Wataalamu walifanyie kazi.
 
Umeangalia kwa mtazamo mmoja. Kwa wenye nyumba tu lakn haujaangalia kwa wapangaji. Mtu amepanga fremu au nyumba nzima. Siku anakaribia kuondoka anakopa umeme wa 20,000. Na halipi deni.

Hiyo hela atalipa nani? Siyo rahisi kama unavyofikiria ndiyo maana hauajatoa maelezo yaliyojitosheleza na njia zake ndiyo maana umekimbilia kukopesha.

Hii italeta migogoro sana, na siafiki suala hili la kukopa umeme hata kwa 100%
Mkuu, usifananishe mitandao ya simu ambayo ipo mingi na TANESCO. Unaweza kuacha kutumia umeme wa serikali na kuamua kufunga solar kisa unadaiwa 15,000?
 
Kukopesha umeme ni suala gumu ndiyo maana hata ww haujatoa ni njia gani watatumia kukopesha unit ila umeandika wawe wanakopesha.
Ni ngumu na italeta migogoro sana. Fikiria umepangishwa nyumba halafu kuna deni la 40,000 halijalipwa. Hiyo hela anatoa nani?
Ukiangalia thread yako haijajitosheleza. Ni njia gani TANESCO watatumia kukopesha umeme? Kuna nyumba zinapangishwa nzima.
Baadhi ya watanzania na sio wote
 
SMS
Kuna kuchelewa kufika au kutoonekana kbsa kwasbb ya mtandao au meseji kujaa. Kwahiyo bado haujatatua tatizo
Email
Ina watumiaji wachache na si rahisi mtu kufuatilia suala la email.
Bado haujatatua. Tufanye umeona meseji ambayo nimekopa umeme. Sijakwambia muda naondoka. Kodi ya nyumba imeisha, naleta gari nahamisha mizigo naondoka. Hilo deni atalipa nani?
Unajua kuwa kuna watu wanahama huku wanadaiwa kodi ya nyumba au hela maji?
Kama shirika la TANESCO linataka kufa, basi watumie mbinu hii. Watakosa pesa nyingi sana.
Ukikopa umeme, SMS au email notification inaenda kwa mmiliki wa nyumba
 
Umeangalia kwa mtazamo mmoja. Kwa wenye nyumba tu lakn haujaangalia kwa wapangaji. Mtu amepanga fremu au nyumba nzima. Siku anakaribia kuondoka anakopa umeme wa 20,000. Na halipi deni.
Mtu anayekopa umeme wa 20,000/= leo alafu kesho anaondoka bila shaka ana matatizo ya akili. Sasa huo umeme amemkopea nani?
 
Hiyo hela atalipa nani? Siyo rahisi kama unavyofikiria ndiyo maana hauajatoa maelezo yaliyojitosheleza na njia zake ndiyo maana umekimbilia kukopesha.
Nimekimbilia kukopesha kwa maana hakuna mtu asiyekopa. Mbona serikali ambaye ndio baba na mama yetu bado anakopa?
 
SMS
Kuna kuchelewa kufika au kutoonekana kbsa kwasbb ya mtandao au meseji kujaa. Kwahiyo bado haujatatua tatizo
Email
Ina watumiaji wachache na si rahisi mtu kufuatilia suala la email.
Bado haujatatua.
Mkuu, una hoja za kitoto sana hahahaaaa
 
Tufanye umeona meseji ambayo nimekopa umeme. Sijakwambia muda naondoka. Kodi ya nyumba imeisha,
Soma hiyo bolded line ndio utajua kuwa wewe bado mchanga sana katika kuunda hoja. Utasemaje hujaniambia muda unaoondoka, alafu unasema tena kodi ya nyumba imeisha? Kwani kodi ya nyumba ikiisha si ndio muda wako wa kuondoka umefika? Au hilo halipo katika mkataba wangu mimi mwenye nyumba na wewe mpangaji?
 
Unajua kuwa kuna watu wanahama huku wanadaiwa kodi ya nyumba au hela maji?
Kama mwenye nyumba amependa kutapeliwa ndio mpangaji anaweza kuondoka na madeni laa sivyo haiwezekani.

Vp kuhusu wale wanaomiliki nyumba wanazokaa wenyewe na sio za kupangisha?
 
Back
Top Bottom