Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
GoodEmail na SMS notification. Au wanaweza kuweka limit kwamba sio ruhusa kwa majengo ya biashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GoodEmail na SMS notification. Au wanaweza kuweka limit kwamba sio ruhusa kwa majengo ya biashara.
Ukijua kirefu cha neno LUKU utafuta huu uzi wako.Mitandao ya simu inatumia mfumo wa "prepayment" lakini bado wanakopesha
Sawa bossUkijua kirefu cha neno LUKU utafuta huu uzi wako.
LUKU ndio nini?Ukijua kirefu cha neno LUKU utafuta huu uzi wako.
Badala ya kunifafanulia, unaanza ku-panicUkijua kirefu cha neno LUKU utafuta huu uzi wako.
Soma uzi wangu hapo chini;Pia Wataalamu wa IT if possible wangekuja na namna ya kurahisisha suala la ununuzi wa units za LUKU kwa maana ya mteja anaponunua units kwa simu ziwe na uwezo wa kuingia moja kwa moja kwenye mita
Tumepokea ushauri tunashukuru sana mpendwa mteja wetuHabari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.
Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho.
Sawa. Sote kwa pamoja tuijenge Tanzania yetu.Tumepokea ushauri tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
TANESCO , Makao Makuu
Same thinking. Hili Wataalamu walifanyie kazi.Soma uzi wangu hapo chini;
Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable? Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO...www.jamiiforums.com
Mkuu, usifananishe mitandao ya simu ambayo ipo mingi na TANESCO. Unaweza kuacha kutumia umeme wa serikali na kuamua kufunga solar kisa unadaiwa 15,000?
Baadhi ya watanzania na sio wote
Ukikopa umeme, SMS au email notification inaenda kwa mmiliki wa nyumba
Mtu anayekopa umeme wa 20,000/= leo alafu kesho anaondoka bila shaka ana matatizo ya akili. Sasa huo umeme amemkopea nani?Umeangalia kwa mtazamo mmoja. Kwa wenye nyumba tu lakn haujaangalia kwa wapangaji. Mtu amepanga fremu au nyumba nzima. Siku anakaribia kuondoka anakopa umeme wa 20,000. Na halipi deni.
Nimekimbilia kukopesha kwa maana hakuna mtu asiyekopa. Mbona serikali ambaye ndio baba na mama yetu bado anakopa?Hiyo hela atalipa nani? Siyo rahisi kama unavyofikiria ndiyo maana hauajatoa maelezo yaliyojitosheleza na njia zake ndiyo maana umekimbilia kukopesha.
Mpangaji akikopa email au SMS notification inaenda kwa mwenye nyumba. Sasa hapa ugumu upo wapi?Umeangalia kwa mtazamo mmoja. Kwa wenye nyumba tu lakn haujaangalia kwa wapangaji.
Mkuu, una hoja za kitoto sana hahahaaaaSMS
Kuna kuchelewa kufika au kutoonekana kbsa kwasbb ya mtandao au meseji kujaa. Kwahiyo bado haujatatua tatizo
Ina watumiaji wachache na si rahisi mtu kufuatilia suala la email.
Bado haujatatua.
Soma hiyo bolded line ndio utajua kuwa wewe bado mchanga sana katika kuunda hoja. Utasemaje hujaniambia muda unaoondoka, alafu unasema tena kodi ya nyumba imeisha? Kwani kodi ya nyumba ikiisha si ndio muda wako wa kuondoka umefika? Au hilo halipo katika mkataba wangu mimi mwenye nyumba na wewe mpangaji?Tufanye umeona meseji ambayo nimekopa umeme. Sijakwambia muda naondoka. Kodi ya nyumba imeisha,
Kama mwenye nyumba amependa kutapeliwa ndio mpangaji anaweza kuondoka na madeni laa sivyo haiwezekani.Unajua kuwa kuna watu wanahama huku wanadaiwa kodi ya nyumba au hela maji?
TANESCO kamwe haiwezi kufa kwa kufanya project hiiKama shirika la TANESCO linataka kufa, basi watumie mbinu hii. Watakosa pesa nyingi sana.