TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Musiba alipigia sana kelele hii skendo ila watanzania wakawa wanamuona kama vile chizi
Kumtongoza mwanamke siyo dhambi hata kama akiwa mke wa mtu.
Kosa hapo ni mwanamke kukubali. Hapo mwenyewe ushakutana na mitongozo mingi ila ni hiari yako kukubali au kukataa. Bila kutongoza hata huyo mume uliyenaye usingekuwa naye.
 
Zitto kuna kipindi alikuwa anachepuka na mke wa marehemu Deo Filikunjombe
Kosa siyo la Zitto, kosa ni la mke wa Filikunjombe. Anajua yeye ameolewa kwann akubali? Sisi wanaume ni km nyuki, ukiona mti wa maua mazuri lazima utue
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.

Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho.

Tofauti ya mteja wa TANESCO na mteja wa mtandao wa simu za mikononi kama Vodacom na Tigo ni kwamba, mteja wa mitandao hii ana nafasi kubwa sana ya kutokulipa deni kwa maana anaweza kubadili simcard au anaweza kufa kisha deni likawa limepotea tofauti na mteja wa TANESCO ambaye deni linakuwa limebebwa na nyumba kiasi kwamba hata akifa, deni litakatwa wakati wa ku-transfer property ownership.

Mteja wa mitandao ya simu za mikononi anaweza akakopa Vodacom kisha akahama mtandao akaanza kutumia Tigo, lakini mteja wa TANESCO hawezi kubadili number yake ya mita ya LUKU. Kama alikopa umeme wa 5,000/= kwa kutumia M-PESA inakuwa ngumu sana kukopa tena kwa kutumia mtandao mwingine kama vile TIGO PESA kwa maana atatumia number ile ile ya mita hivyo computer system itakataa kufanya muamala wa kumpa units.

TANESCO wanaweza kufanya special arrangement na kampuni husika ya mtandao wa simu kama Vodacom au Tigo kutoka mkopo wa pesa mahususi kwa kununua units za umeme tu na sio muamala mwingine wowote. Ukitumia pesa hiyo kwa muamala mwingine inakataa.

Mathalana TANESCO wanaweza kukukopesha umeme wa 4,000. Halafu utakatwa labda 25% kila utakaponunua tena mpaka deni liishe. Au ukiamua unalipa 100%.

Wataalam wa masuala ya uchumi pamoja na ICT mnaweza kulifafanua hili zaidi kwa maana hiyo sio taaluma yangu lakini ninapendekeza number itakayoruhusiwa kukopa iwe moja tu (Mmiliki wa nyumba) hususan kwa nyumba zenye wakazi (wapangaji) wengi

NB: Ndugu zangu waislam, Mungu awatangulie na kuwasimamia katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Siku zote 30 za mfungo zikawe za kheri na baraka kwenu. Wishing you courage and strength so that you win every challenge of this life.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ni wazo zuri sana lakini kitakacho tokea endapo watu wakishindwa kulipa ni kurejelea karabai na mishumaa na hii ni kwa sababu sehemu kubwa ya watanzania hawataki au hawapendi kuwajibika kwa nafasi yao, kwa mfano mwenyewe umesema watu wanakopa voda na badala ya kulipa anahama mtandao, kitu ambacho kinaweza tokea pia kwa tanesco mtu anaweza akaopt solar instead, ila laiti tungekua na wawajibikaji na sio pesa ya mboga na vijicent tungefanikiwa lakini kwa nchi ambayo hata mkusanyaji wa kodi (serikali) si mwajibikaji ni ngumu coz cha kujiuliza mashirika ya serikali mangapi yanadaiwa na iyo tanesco. Ila kama tunataka kuliua kabisa shirika hii itakua option nzuri na kila mtu atakua kashiriki.
 
Kosa ni la Zitto kwa maana Esther ni demu wa level za mbali ambazo sio hadhi ya yule mkigoma
Mwanamke ni mwanamke tu ndiyo maana hata viserengeti boy vinakula.
Hakuna mwanamke mwenye hadhi ya juu ndiyo maana Zitto alikula. Mwanamke akikuelewa tu, unapiga zako mashine kwa roho safi
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.

Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho.

Tofauti ya mteja wa TANESCO na mteja wa mtandao wa simu za mikononi kama Vodacom na Tigo ni kwamba, mteja wa mitandao hii ana nafasi kubwa sana ya kutokulipa deni kwa maana anaweza kubadili simcard au anaweza kufa kisha deni likawa limepotea tofauti na mteja wa TANESCO ambaye deni linakuwa limebebwa na nyumba kiasi kwamba hata akifa, deni litakatwa wakati wa ku-transfer property ownership.

Mteja wa mitandao ya simu za mikononi anaweza akakopa Vodacom kisha akahama mtandao akaanza kutumia Tigo, lakini mteja wa TANESCO hawezi kubadili number yake ya mita ya LUKU. Kama alikopa umeme wa 5,000/= kwa kutumia M-PESA inakuwa ngumu sana kukopa tena kwa kutumia mtandao mwingine kama vile TIGO PESA kwa maana atatumia number ile ile ya mita hivyo computer system itakataa kufanya muamala wa kumpa units.

TANESCO wanaweza kufanya special arrangement na kampuni husika ya mtandao wa simu kama Vodacom au Tigo kutoka mkopo wa pesa mahususi kwa kununua units za umeme tu na sio muamala mwingine wowote. Ukitumia pesa hiyo kwa muamala mwingine inakataa.

Mathalana TANESCO wanaweza kukukopesha umeme wa 4,000. Halafu utakatwa labda 25% kila utakaponunua tena mpaka deni liishe. Au ukiamua unalipa 100%.

Wataalam wa masuala ya uchumi pamoja na ICT mnaweza kulifafanua hili zaidi kwa maana hiyo sio taaluma yangu lakini ninapendekeza number itakayoruhusiwa kukopa iwe moja tu (Mmiliki wa nyumba) hususan kwa nyumba zenye wakazi (wapangaji) wengi

NB: Ndugu zangu waislam, Mungu awatangulie na kuwasimamia katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Siku zote 30 za mfungo zikawe za kheri na baraka kwenu. Wishing you courage and strength so that you win every challenge of this life.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Never hawatoki kwenye mfumo huu
 
Write your reply...
HAWANA HAJA HII WAWEKE LUKU KTK VIWANDA NA MAOFISI YOTE. INATOSHA WATASHANGAA PESA ITAKAYOPATIKNA.
 
Ukiendekeza sana wanawake unafilisika fedha zako.
😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂
Hayo ni mawazo ya kimasikini. Kama hauna fedha hauna tu wala usisingizie wanawake. Wanawake ndiyo wanatufanya tutafute pesa.
 
Back
Top Bottom