Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Acha kumuonea wivu mwanaume mwenzako. Hizo ni personal issueZitto alikuwa anamla mpaka Esther Bulaya. Huyu jamaa ni mayala sana
Hapo kosa ni la nani unafikiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumuonea wivu mwanaume mwenzako. Hizo ni personal issueZitto alikuwa anamla mpaka Esther Bulaya. Huyu jamaa ni mayala sana
Kumtongoza mwanamke siyo dhambi hata kama akiwa mke wa mtu.Musiba alipigia sana kelele hii skendo ila watanzania wakawa wanamuona kama vile chizi
Kosa siyo la Zitto, kosa ni la mke wa Filikunjombe. Anajua yeye ameolewa kwann akubali? Sisi wanaume ni km nyuki, ukiona mti wa maua mazuri lazima utueZitto kuna kipindi alikuwa anachepuka na mke wa marehemu Deo Filikunjombe
Acha kuwa na wivu. Usipomkubali kuna mwanamke kama ww, amemzimia sana jamaa.Zitto ana sura mbaya aisee, utasema labda anawanga usiku.
Kosa ni la Zitto kwa maana Esther ni demu wa level za mbali ambazo sio hadhi ya yule mkigomaAcha kumuonea wivu mwanaume mwenzako. Hizo ni personal issue
Hapo kosa ni la nani unafikiri?
Ni wazo zuri sana lakini kitakacho tokea endapo watu wakishindwa kulipa ni kurejelea karabai na mishumaa na hii ni kwa sababu sehemu kubwa ya watanzania hawataki au hawapendi kuwajibika kwa nafasi yao, kwa mfano mwenyewe umesema watu wanakopa voda na badala ya kulipa anahama mtandao, kitu ambacho kinaweza tokea pia kwa tanesco mtu anaweza akaopt solar instead, ila laiti tungekua na wawajibikaji na sio pesa ya mboga na vijicent tungefanikiwa lakini kwa nchi ambayo hata mkusanyaji wa kodi (serikali) si mwajibikaji ni ngumu coz cha kujiuliza mashirika ya serikali mangapi yanadaiwa na iyo tanesco. Ila kama tunataka kuliua kabisa shirika hii itakua option nzuri na kila mtu atakua kashiriki.Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.
Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho.
Tofauti ya mteja wa TANESCO na mteja wa mtandao wa simu za mikononi kama Vodacom na Tigo ni kwamba, mteja wa mitandao hii ana nafasi kubwa sana ya kutokulipa deni kwa maana anaweza kubadili simcard au anaweza kufa kisha deni likawa limepotea tofauti na mteja wa TANESCO ambaye deni linakuwa limebebwa na nyumba kiasi kwamba hata akifa, deni litakatwa wakati wa ku-transfer property ownership.
Mteja wa mitandao ya simu za mikononi anaweza akakopa Vodacom kisha akahama mtandao akaanza kutumia Tigo, lakini mteja wa TANESCO hawezi kubadili number yake ya mita ya LUKU. Kama alikopa umeme wa 5,000/= kwa kutumia M-PESA inakuwa ngumu sana kukopa tena kwa kutumia mtandao mwingine kama vile TIGO PESA kwa maana atatumia number ile ile ya mita hivyo computer system itakataa kufanya muamala wa kumpa units.
TANESCO wanaweza kufanya special arrangement na kampuni husika ya mtandao wa simu kama Vodacom au Tigo kutoka mkopo wa pesa mahususi kwa kununua units za umeme tu na sio muamala mwingine wowote. Ukitumia pesa hiyo kwa muamala mwingine inakataa.
Mathalana TANESCO wanaweza kukukopesha umeme wa 4,000. Halafu utakatwa labda 25% kila utakaponunua tena mpaka deni liishe. Au ukiamua unalipa 100%.
Wataalam wa masuala ya uchumi pamoja na ICT mnaweza kulifafanua hili zaidi kwa maana hiyo sio taaluma yangu lakini ninapendekeza number itakayoruhusiwa kukopa iwe moja tu (Mmiliki wa nyumba) hususan kwa nyumba zenye wakazi (wapangaji) wengi
NB: Ndugu zangu waislam, Mungu awatangulie na kuwasimamia katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Siku zote 30 za mfungo zikawe za kheri na baraka kwenu. Wishing you courage and strength so that you win every challenge of this life.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mwanamke ni mwanamke tu ndiyo maana hata viserengeti boy vinakula.Kosa ni la Zitto kwa maana Esther ni demu wa level za mbali ambazo sio hadhi ya yule mkigoma
Wewe ndio Zitto nini? Mbona unamtetea sana?Mwanamke ni mwanamke tu ndiyo maana hata viserengeti boy vinakula.
Hakuna mwanamke mwenye hadhi ya juu ndiyo maana Zitto alikula. Mwanamke akikuelewa tu, unapiga zako mashine kwa roho safi
Never hawatoki kwenye mfumo huuHabari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.
Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho.
Tofauti ya mteja wa TANESCO na mteja wa mtandao wa simu za mikononi kama Vodacom na Tigo ni kwamba, mteja wa mitandao hii ana nafasi kubwa sana ya kutokulipa deni kwa maana anaweza kubadili simcard au anaweza kufa kisha deni likawa limepotea tofauti na mteja wa TANESCO ambaye deni linakuwa limebebwa na nyumba kiasi kwamba hata akifa, deni litakatwa wakati wa ku-transfer property ownership.
Mteja wa mitandao ya simu za mikononi anaweza akakopa Vodacom kisha akahama mtandao akaanza kutumia Tigo, lakini mteja wa TANESCO hawezi kubadili number yake ya mita ya LUKU. Kama alikopa umeme wa 5,000/= kwa kutumia M-PESA inakuwa ngumu sana kukopa tena kwa kutumia mtandao mwingine kama vile TIGO PESA kwa maana atatumia number ile ile ya mita hivyo computer system itakataa kufanya muamala wa kumpa units.
TANESCO wanaweza kufanya special arrangement na kampuni husika ya mtandao wa simu kama Vodacom au Tigo kutoka mkopo wa pesa mahususi kwa kununua units za umeme tu na sio muamala mwingine wowote. Ukitumia pesa hiyo kwa muamala mwingine inakataa.
Mathalana TANESCO wanaweza kukukopesha umeme wa 4,000. Halafu utakatwa labda 25% kila utakaponunua tena mpaka deni liishe. Au ukiamua unalipa 100%.
Wataalam wa masuala ya uchumi pamoja na ICT mnaweza kulifafanua hili zaidi kwa maana hiyo sio taaluma yangu lakini ninapendekeza number itakayoruhusiwa kukopa iwe moja tu (Mmiliki wa nyumba) hususan kwa nyumba zenye wakazi (wapangaji) wengi
NB: Ndugu zangu waislam, Mungu awatangulie na kuwasimamia katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Siku zote 30 za mfungo zikawe za kheri na baraka kwenu. Wishing you courage and strength so that you win every challenge of this life.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mimi nimeandika kama ushauri tu. Sijawalazimisha kuufuata huu muongozo wangu.Never hawatoki kwenye mfumo huu
Sijasema kuwa "wana haja" bali mimi nimeandika kama ushauri tu.Write your reply...
HAWANA HAJA HII WAWEKE LUKU KTK VIWANDA NA MAOFISI YOTE. INATOSHA WATASHANGAA PESA ITAKAYOPATIKNA.
Hapana. Wanawake kama maua yanayopamba dunia. Km mwanaume rijali ni ngumu sana kuwaepuka hawa viumbe hasa wanaojilengesha.Wewe ndio Zitto nini? Mbona unamtetea sana?
Ukiendekeza sana wanawake unafilisika fedha zako.Hapana. Wanawake kama maua yanayopamba dunia. Km mwanaume rijali ni ngumu sana kuwaepuka hawa viumbe hasa wanaojilengesha.
😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂Ukiendekeza sana wanawake unafilisika fedha zako.
Unakataa kutuhonga ili uwe tajiri. Eti?Ukiendekeza sana wanawake unafilisika fedha zako.
Zitto alipokuwa mwenyekiti wa PAC aliiba sana pesaWewe ndio Zitto nini? Mbona unamtetea sana?
PAC ndio nini mkuu?Zitto alipokuwa mwenyekiti wa PAC aliiba sana pesa
Kuna mhongaji humu JF wakati wamejaa vicheche tuUnakataa kutuhonga ili uwe tajiri. Eti?
Kama ukicheche ni tabia yako usijumuishe kila mtu mkuu. Kuna watu wana heshima zao nyingi tu humu.Kuna mhongaji humu JF wakati wamejaa vicheche tu