TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo.

Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto Malagarasi na utakuwa na uwezo wa Megawatts 50.

Mradi pia utajumuisha ujenzi wa njia ya umeme yenye Kilovolts 132 kwenye umbali wa kilomita 54. Kazi yote inakaridiriwa kugharimu dola milioni 144.14 ambapo AfDB watatoa dola milioni 120 na zilizobaki zitatolewa na AGFT

========

Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) is launching a call for tenders to select a consultant for the construction of the Malagarasi run-of-river hydropower plant (50 MW). This project is financed by the African Development Bank (AfDB).

After obtaining a promise of financing from the African Development Bank (AfDB), Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) is now working on the implementation of the Malagarasi hydroelectric project. To this end, the public company is launching a call for tenders for the selection of a consultant to assist it in the implementation of this renewable energy project.

Companies interested in the call for expressions of interest have until February 16th, 2021 to express their interest. The consultancy firm or consortium selected will review the design and preparation of the tender documents. The consultant will support the contracting of contractors for the design of facilities, supply and execution of the works. During the construction phase, the company will supervise the overall works.
An investment of more than $144 million

The Malagarasi hydroelectric project is being implemented at the Igamba Falls on the Malagarasi River. It includes the construction of a gravity overflow spillway about 600 m long which diverts the flows towards the waterway. The waterway system includes a culvert of about 1 km, which leads the discharges to the short penstocks, through an external discharge well, and then to the 50 MW power plant built on the right bank of the river.

The project will also result in the construction of a 132 kV transmission line, over a distance of 54 km. It will allow the evacuation of electricity from the power station to the 400/132/33 kV Kidahwe substation. The future run-of-river power plant will enable the electrification of several surrounding localities through medium voltage (40 km) and low voltage (65 km) cross-linked lines to increase the 33 kV distribution capacity from the Kidahwe substation.

The overall cost of the works is estimated at $144.14 million. The Malagarasi hydroelectric project is supported by the AfDB, which has agreed to finance it to the tune of US$120 million. The project is also receiving US$20 million in funding from the African Growth and Opportunity Fund (AGTF), a US$2 billion fund funded by the People’s Bank of China (PBC) and administered by the AfDB.

SOURCE: Afrik21
 
Miradi hii Tanzania: 2,100-MW Stiegler’s Gorge or Julius Nyerere na 80MW Rusumo bado ipo inajengwa, kabla miradi hiyo miwili haijamalizika tayari sasa wanasaini mkopo mpya wa mradi maporomoko ya Igamba ktk mto Malagarasi 50MW (Malagarasi Hydropower) !
 
Wajenge tu!Huenda Ile ya Stiglers kuna sinto fahamu wameiona.

Wakati wa gesi walituaminisha kuwa tatizo la umeme litaisha,ila halikuisha.Nafikiri Stiglers nalo halitamaliza tatizo la uhaba wa umeme, waongeze mengine na mengine.
 
Serikali inajitahidi Sana kuongeza nishati

Lakini Kama haitaibadili tanesco owe ya kibiashara, tutakua tunatwanga maji tu
 
Miradi hii Tanzania: 2,100-MW Stiegler’s Gorge or Julius Nyerere na 80MW Rusumo bado ipo inajengwa, kabla miradi hiyo miwili haijamalizika tayari sasa wanasaini mkopo mpya wa mradi maporomoko ya Igamba ktk mto Malagarasi 50MW (Malagarasi Hydropower) !
Tanzania ni ni tajiri sana...
Tanzania itakua donor cantri soon ..
Arusha itakua kama Califonia...
Tanzania kama ulaya .
Tutauzia wazungu mitumba...
Nasema uongo ndugu zangu?
Wanafiki: makofi mengi na vigelegele kwa mheshimiwa wadanganyika!
Mazuzu: 👏👏👏👏👏😆😆😆😆
 
"suala la matatizo ya umeme litakuwa historia"

Professor Mhongo - 2015

Prof alisahau tu kusema suala la matatizo ya umeme litakuwa historia ya kudumu.
Sijawahi kuona Profesa muongo kama profesa Muhongo by Tundu Lissu, hiyo ni baada ya profesa kusema fedha za Escrow si fedha za umma.
 
Back
Top Bottom