Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,731
- 3,628
Wanini?Ni vizuri. Tunatakiwa kuzalisha umeme mwingi sana.
Si tunaambiwa uliopo sasa 1700+MW unatutosha?
Kuna matatizo mengi yanahitaji ufumbuzi tz sio rasilimali zote kuelekezwa Nishati!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanini?Ni vizuri. Tunatakiwa kuzalisha umeme mwingi sana.
Tunahitaji kuzalisha kama 10, 000 MW hivi.Wanini?
Si tunaambiwa uliopo sasa 1700+MW unatutosha?
Kuna matatizo mengi yanahitaji ufumbuzi tz sio rasilimali zote kuelekezwa Nishati!
Hivi bado tunahiaji kubwa la umeme mbali ya kuwa na Stiglers ? dah naona kama hii hela inafujwa tu hakuna vipaumbele vingine jamani?Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo.
Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto Malagarasi na utakuwa na uwezo wa Megawatts 50.
Mradi pia utajumuisha ujenzi wa njia ya umeme yenye Kilovolts 132 kwenye umbali wa kilomita 54. Kazi yote inakaridiriwa kugharimu dola milioni 144.14 ambapo AfDB watatoa dola milioni 120 na zilizobaki zitatolewa na AGFT
========
Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) is launching a call for tenders to select a consultant for the construction of the Malagarasi run-of-river hydropower plant (50 MW). This project is financed by the African Development Bank (AfDB).
After obtaining a promise of financing from the African Development Bank (AfDB), Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) is now working on the implementation of the Malagarasi hydroelectric project. To this end, the public company is launching a call for tenders for the selection of a consultant to assist it in the implementation of this renewable energy project.
Companies interested in the call for expressions of interest have until February 16th, 2021 to express their interest. The consultancy firm or consortium selected will review the design and preparation of the tender documents. The consultant will support the contracting of contractors for the design of facilities, supply and execution of the works. During the construction phase, the company will supervise the overall works.
An investment of more than $144 million
The Malagarasi hydroelectric project is being implemented at the Igamba Falls on the Malagarasi River. It includes the construction of a gravity overflow spillway about 600 m long which diverts the flows towards the waterway. The waterway system includes a culvert of about 1 km, which leads the discharges to the short penstocks, through an external discharge well, and then to the 50 MW power plant built on the right bank of the river.
The project will also result in the construction of a 132 kV transmission line, over a distance of 54 km. It will allow the evacuation of electricity from the power station to the 400/132/33 kV Kidahwe substation. The future run-of-river power plant will enable the electrification of several surrounding localities through medium voltage (40 km) and low voltage (65 km) cross-linked lines to increase the 33 kV distribution capacity from the Kidahwe substation.
The overall cost of the works is estimated at $144.14 million. The Malagarasi hydroelectric project is supported by the AfDB, which has agreed to finance it to the tune of US$120 million. The project is also receiving US$20 million in funding from the African Growth and Opportunity Fund (AGTF), a US$2 billion fund funded by the People’s Bank of China (PBC) and administered by the AfDB.
SOURCE: Afrik21
Mkuu huu ni utapeli uleule wa enzi za JK, tuliambiwa gas itazalisha umeme wa5,000mg, leo kaingia rais mwingine anatengeneza umeme wa maji 2,115mg ambao anasema utaisha 2023. Sasa unajiuliza kama tuliacha umeme wa gas ambao tayari bomba liko Dar na mg kadhaa zinazalishwa, hizo 2,115mg zilikuwa za nini, na hiki kituko cha hizo 50mg sasa ni za nini. Nilichoka siku niliposikia kuwa mradi wa Stiegler Gorge haupo kwenye mpango kazi wa TANESCO! Tunywe mtori maana nyama tutazikuta chini, kwani yajayo yatafurahisha.Mie sielewi
Niliamini Steigler George itazalisha umeme wa kutosha na kuzidi kabisa mahitaji ya nchi!
50MW kwa bilion 330, mbona km pesa nyingi sana kuliko idadi ya MW?!!!!Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo.