TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

Ni vizuri. Tunatakiwa kuzalisha umeme mwingi sana.
Wanini?

Si tunaambiwa uliopo sasa 1700+MW unatutosha?

Kuna matatizo mengi yanahitaji ufumbuzi tz sio rasilimali zote kuelekezwa Nishati!
 
Wanini?

Si tunaambiwa uliopo sasa 1700+MW unatutosha?

Kuna matatizo mengi yanahitaji ufumbuzi tz sio rasilimali zote kuelekezwa Nishati!
Tunahitaji kuzalisha kama 10, 000 MW hivi.
Hako kaumeme hakawezi kuendesha viwanda vikubwa.
 
Hivi bado tunahiaji kubwa la umeme mbali ya kuwa na Stiglers ? dah naona kama hii hela inafujwa tu hakuna vipaumbele vingine jamani?
 
Mie sielewi

Niliamini Steigler George itazalisha umeme wa kutosha na kuzidi kabisa mahitaji ya nchi!
Mkuu huu ni utapeli uleule wa enzi za JK, tuliambiwa gas itazalisha umeme wa5,000mg, leo kaingia rais mwingine anatengeneza umeme wa maji 2,115mg ambao anasema utaisha 2023. Sasa unajiuliza kama tuliacha umeme wa gas ambao tayari bomba liko Dar na mg kadhaa zinazalishwa, hizo 2,115mg zilikuwa za nini, na hiki kituko cha hizo 50mg sasa ni za nini. Nilichoka siku niliposikia kuwa mradi wa Stiegler Gorge haupo kwenye mpango kazi wa TANESCO! Tunywe mtori maana nyama tutazikuta chini, kwani yajayo yatafurahisha.
 
Wa jifunze kwanza mradi ya nyumbamungu kilimanjaro, Hale panga I uchafuguzi wa mazingira hata kuhamishwa watu ihefu je huko mlagarasi wamejizatiti na hayo.
 
50MW kwa bilion 330, mbona km pesa nyingi sana kuliko idadi ya MW?!!!!
 
Kila siku ni miradi mipya na hatujapata muendelezo wa mradi mkubwa zaidi wa umeme ulioanza kujengwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Content mkopo ,heading ufadhili? Dona country? Hizo bilioni 300... mgewekeza katika kilimo biashara miundombinu umwagiliaji nk multpliyer effect kwa miaka michache tungejenga hilo bwawa kwa pesa zetu.
 
Je tunahitaji ?, Si nilisikia wa Kule Rufiji tutapata mpaka excess ?, Au mimi ndio sisikii vizuri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…