Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token.




Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako.

Watumiaji watakua na uwezo wa kununua kama kifurushi vile vinavyopatikana kwenye kingamuzi, ambapo pale pale TU baada ya kununua Kifurushi chako umeme unawaka bila kuingiza token kwenye Mita.



Mfumo huo utaweza kuiitwa Smart Meters ambazo wananchi wanapaswa kuzipata toka kwa ofisi za Tanesco wataweza kupewa Meter za kisasa watakua na uwezo wa kuweka umeme kama unalipia kingamuzi bila kuingiza token .
 
Hizi mita zitakuwa na "internal battery"???
Jibu ni dogs sana,hakutakuwa na badiliko kwani hata mita za sasa,umeme ukiisha zinakuwa na umeme ule wa direct toka kwenye nguzo,ila zinakata kusuply umeme kuingia ndani ya nyumba,hata hizo zitafanya kazi kama hiya.
 
So wataleta vocha kuuzwa mtaani
Watu wanaondoa makaratasi kupunguza gharama.
Karatasi mara namba umekwangua vibaya, kero nyingi na uchafuzi mazingira.
Mfumo wa kununua kielektroniki kwenye simu, kwa vendor, point of sale mfano Selcom au Maxi Malipo ndiyo sahihi.
Wanachotakiwa kufanya ni hiyo ukilipia tu kwa njia ya electronic inaongeza umeme moja kwa moja siyo kuingiza token numbers manually.
 
Kadili kaupigaji haka wasiphase out pole pole wanaongia wapya wapewe hizo smart na ikitokea ya zamani imeharibika ubadilishiwe na Smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…