Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token

Umeme wenyewe haupo wala hautoshi, mfano sasa hivi hakuna umeme baadhi ya maeneo ya Dar es salaam tangu jana, TANESCO wanajua na mfumo mpya kwa umeme upi kama si wizi wa pesa za umma? 🤔
 
Vumilieni, mama anaifungua nchi 😂😂
 
Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token.

View attachment 3301359

Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako.

Watumiaji watakua na uwezo wa kununua kama kifurushi vile vinavyopatikana kwenye kingamuzi, ambapo pale pale TU baada ya kununua Kifurushi chako umeme unawaka bila kuingiza token kwenye Mita.

View attachment 3301360

Mfumo huo utaweza kuiitwa Smart Meters ambazo wananchi wanapaswa kuzipata toka kwa ofisi za Tanesco wataweza kupewa Meter za kisasa watakua na uwezo wa kuweka umeme kama unalipia kingamuzi bila kuingiza token .
Tanesiko taasisi kubwa kabisa nmmnazidiwa akili na ujanja na akina solaking akina zola akina aazaaamu akinadiestivii shame upon you,wizi miradi mchongo tuuu.Leo ndio mnakumbuka shuka?Au kuna mwizi kabuni mradi mupya tena msimuu huu wa uchafuzi ili atafuta mtaji wa rushua za chaguzi chafuzi???
 
Kwa gharama kiasi gani ?!!!!

Wanaonaje kama hili wangefanya baada ya kurekebisha mifumo ya kufikisha huu umeme wa ziada huko mipakani ili utumike kwa bei ndogo kuliko kununu nje na kusababisha hii bei kubwa inayoendelea ?!!!
 
Afadhali, hii ya kuingiza token ina usumbufu mwingi sana, hasa pale umeme unapoisha usiku wa manane na mita ipo nje juu karibu na paa, au mvua inaponyesha.
Kwani kuingiza hizo token ni lazima utoke nje? Mbona mimi mita iko juu karibu na paa lakini naingiza nikiwa sitting room?
 
N
Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token.

View attachment 3301359

Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako.

Watumiaji watakua na uwezo wa kununua kama kifurushi vile vinavyopatikana kwenye kingamuzi, ambapo pale pale TU baada ya kununua Kifurushi chako umeme unawaka bila kuingiza token kwenye Mita.

View attachment 3301360

Mfumo huo utaweza kuiitwa Smart Meters ambazo wananchi wanapaswa kuzipata toka kwa ofisi za Tanesco wataweza kupewa Meter za kisasa watakua na uwezo wa kuweka umeme kama unalipia kingamuzi bila kuingiza token .a.Niwa! Ila huko tunakopelekwa naona giza kubwa!

Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token.

View attachment 3301359

Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako.

Watumiaji watakua na uwezo wa kununua kama kifurushi vile vinavyopatikana kwenye kingamuzi, ambapo pale pale TU baada ya kununua Kifurushi chako umeme unawaka bila kuingiza token kwenye Mita.

View attachment 3301360

Mfumo huo utaweza kuiitwa Smart Meters ambazo wananchi wanapaswa kuzipata toka kwa ofisi za Tanesco wataweza kupewa Meter za kisasa watakua na uwezo wa kuweka umeme kama unalipia kingamuzi bila kuingiza token .
Ni vyema! Ila huko tunakopelekwa naona giza kubwa! Kwa mujibu wa maandiko kuhusu nyakati za mwisho maarifa kuongezeka! Naona kuna mission pia inazidi kukamilisha kwenye kuja kunitumia Ile chapa iliyonenwa kwamba ambaye hatakuwa nayo hatanunua wala kuuza. Wenye chapa Yao wakija kuzima internet Yao Ili kwamba uonyeshe chapa ndipo upewe huduma. Mungu atujalie mwisho mwema.
 
Afadhali, hii ya kuingiza token ina usumbufu mwingi sana, hasa pale umeme unapoisha usiku wa manane na mita ipo nje juu karibu na paa, au mvua inaponyesha.
Hiyo ina tatizo gani? Kwani unapanda juu ya mti au mpaka utoke nje?
Kwangu mita iko umbali wa takribani mita 40 juu mti. Lakini naingiza tokeni nikiwa chumbani.
 
Back
Top Bottom