Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token

Umeme wenyewe haupo wala hautoshi, mfano sasa hivi hakuna umeme baadhi ya maeneo ya Dar es salaam tangu jana, TANESCO wanajua na mfumo mpya kwa umeme upi kama si wizi wa pesa za umma? πŸ€”
 
Umeme wenyewe haupo wala hautoshi, mfano sasa hivi hakuna umeme baadhi ya maeneo ya Dar es salaam tangu jana, TANESCO wanajua na mfumo mpya kwa umeme upi kama si wizi wa pesa za umma? πŸ€”
Vumilieni, mama anaifungua nchi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama vipi wang'oe manguzo yao tuweke solar. Kila siku wanabuni mifumo ya kuchukua hela zetu
 
Tanesiko taasisi kubwa kabisa nmmnazidiwa akili na ujanja na akina solaking akina zola akina aazaaamu akinadiestivii shame upon you,wizi miradi mchongo tuuu.Leo ndio mnakumbuka shuka?Au kuna mwizi kabuni mradi mupya tena msimuu huu wa uchafuzi ili atafuta mtaji wa rushua za chaguzi chafuzi???
 
Kwa gharama kiasi gani ?!!!!

Wanaonaje kama hili wangefanya baada ya kurekebisha mifumo ya kufikisha huu umeme wa ziada huko mipakani ili utumike kwa bei ndogo kuliko kununu nje na kusababisha hii bei kubwa inayoendelea ?!!!
 
Afadhali, hii ya kuingiza token ina usumbufu mwingi sana, hasa pale umeme unapoisha usiku wa manane na mita ipo nje juu karibu na paa, au mvua inaponyesha.
Kwani kuingiza hizo token ni lazima utoke nje? Mbona mimi mita iko juu karibu na paa lakini naingiza nikiwa sitting room?
 
N

Ni vyema! Ila huko tunakopelekwa naona giza kubwa! Kwa mujibu wa maandiko kuhusu nyakati za mwisho maarifa kuongezeka! Naona kuna mission pia inazidi kukamilisha kwenye kuja kunitumia Ile chapa iliyonenwa kwamba ambaye hatakuwa nayo hatanunua wala kuuza. Wenye chapa Yao wakija kuzima internet Yao Ili kwamba uonyeshe chapa ndipo upewe huduma. Mungu atujalie mwisho mwema.
 
Vumilieni, mama anaifungua nchi πŸ˜‚πŸ˜‚
Sahihi kabisa, nchi inahitaji kuwa na mwanzo mpya, kikwazo wajinga ni wengi sana nchi hii hadi umegeuka kuwa mtaji wa chama chakavu.
 
Afadhali, hii ya kuingiza token ina usumbufu mwingi sana, hasa pale umeme unapoisha usiku wa manane na mita ipo nje juu karibu na paa, au mvua inaponyesha.
Hiyo ina tatizo gani? Kwani unapanda juu ya mti au mpaka utoke nje?
Kwangu mita iko umbali wa takribani mita 40 juu mti. Lakini naingiza tokeni nikiwa chumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…