TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

Katkit

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
1,893
Reaction score
4,641
Habari wanajamvi,

Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network.

Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia sio shida yao, means ni TANESCO na system yao ya LUKU. Imagine tangu saa moja mpaka sasa ishu bado haijawa solved.

HII NCHI NI TAKATAKA WALLAH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…