joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Siku zote njia ya muongo ni fupi na husimsemee mwenzio ubaya,wakati hakua hivyo. Maana kipindi anakabidhiwa akasema ataanza na maintenance ya vituo vya kuzalishia umeme na maintenance za mitambo sababu zamani walikuwa hawafanyi.
Wakamwachia kipindi kama cha mwaka,afanye hizo maintenance, ila still bado umeme unakata viuno.
Wakamwachia kipindi kama cha mwaka,afanye hizo maintenance, ila still bado umeme unakata viuno.