ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Wewe umejawa upimbi mwingi, "siku mbili tu"? Kwamba ni sawa nchi kuwa gizani kwa siku mbili na wewe kwa ufahamu wako unaona "siku mbili tu" ni kawaida.Punguza utoto wako hapa nani kakwambia umeme wa Tanzania unategemea Maji? 75% ya umeme unategemea Gesi so kama hao unaowaita wahujumu umeme wangetaka kuleta mgao unaposema hapa wangeenda pasua mabomba ya gesi utatokea mgao wa miezi hata 6!! Ila eti wasifanye hivyo ila mgao wa siku mbili tu Tena wa kuunga Gridi ya Taifa ndio iwe hujuma?
JPM aliwaharibu ubongo nyie sio Bure
Nchi ya wajinga sana hii.