TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

TANESCO itafute mbia kutoka nchi iliyo mbele au NCHI yenye tecs kubwa katika maswala ya Umeme hakuna jinsi..
 
Pira biliani la yanga tukilikosa tutarudi kwenye umbeya wa maaskofu tulishasahau mambo ya dp world, story ya mjini ilikuwa yao yao, nzengeli, pacome... yanga ndio amani ya nchi hii.
 
Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023

Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika

Mikoa mingine ni Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Shinyanga, Kilimanjaro, Simiyu, Tabora, Mwanza, Geita na Iringa

Vipi Mdau, umejiandaaje kukabiliana na Mgawo huo?
Umeme utakatwa usiku wa tarehe 26 kuamkia 27(1) na 27 kuuamkia 28(2), sasa hiyo ya tatu ni ipi! JF imekuwa ya hovyo kumejaa wajuaji.
 
Tumeanza kiangazi, mvua hazikuwa nyingi hivyo kupelekea mabwawa kuwa na upungufu wa maji. [emoji15][emoji15].

Bado tunaendelea na zoezi la usimamishaji wa nguzo imara za zege [emoji51].

Ujanja ujanja tu muda wote,
 
Back
Top Bottom