dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Wew Bila Shaka Ni mercy makoi kwa jinsi ulivyo furushwa kutoka u rfo wa mkoa Kisha kutupwa DSM Kwenye kitengo cha data entry ,capex
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm namkubali ila kwenda kumunulia kimada Barbra v8 nimemuona mjinga snaaJamaa yupo smart sana.. Sema watu tuna tabia ya kupenda kuangalia mabaya ya watu.. hatujui mazuri wala hatutaki kuona mazuri yake ndio shida ipo hapo.. But jamaa yupo smart sana
Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.
Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.
Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.
Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
mapenzi upofu 😅😅Hata mm namkubali ila kwenda kumunulia kimada Barbra v8 nimemuona mjinga snaa
Makamba alikuwa Bogus; ila U-Bogus wake sio kwa hilo (Binafsi kama alifuta hizo so called safari alifanya vema.., Safari za kazi gani ?!!! Kukata Umeme na Kusambaza Mgao ?!!!!Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.
Hahaha kama ni kweli uyasemayo na jinsi ninavyoifahamu Tanzania, January aliwashika pazuri.Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.
Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.
Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.
Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Zitabaki kuwa porojo na umbeya wa mitaani.Hata mm namkubali ila kwenda kumunulia kimada Barbra v8 nimemuona mjinga snaa
Naomba unipe point tano nzito ambazo utatetea hoja yako kuwa January makamba ni genius tena uwe na ushahidi/mifano wa/ya kusindikiza point zako.Jamaa yupo smart sana.. Sema watu tuna tabia ya kupenda kuangalia mabaya ya watu.. hatujui mazuri wala hatutaki kuona mazuri yake ndio shida ipo hapo.. But jamaa yupo smart sana
Wapi nimesema January ni genius ?Naomba unipe point tano nzito ambazo utatetea hoja yako kuwa January makamba ni genius tena uwe na ushahidi/mifano wa/ya kusindikiza point zako.
Unaposema mtu ni genius basi ni lazima una ushahidi wa kisayansi kuelezea amefanya nini.
Nitakupa mfano, mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi alibuni mradi wa treni ya mwendo kasi ambapo alitumia engine ambazo zilitelekezwa bohari zikatumika kupunguza idadi ya wasafiri muda wa alfajiri na alasiri. Na mapato ambayo hayakuwahi kutokea yakawepo na ile project imekuwa msaada hadi sasa.
Haya nipe wewe point kumuelezea genius makamba amefanya jambo gani la kumpa hadhi ya u'genius.
Maharage awanyooshe tuWabongo wamezoea kufanya kazi kwa mazoea yaani wanataka ukiwa Boss uwachekee hata kama wanaharibu kazi hapo ndio wanakusifia kwamba wewe ni Boss mzuri ila Boss anayehimiza kufanya kazi kwa bidii anaonekana mbaya na kugeuka adui wa wengi.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Ulipata ngapiJanuary aliyepata division 0 gallanos
Sio Umeme kukatika na mgao usiokwisha na excuses zisizo na mwisho...Hata mm namkubali ila kwenda kumunulia kimada Barbra v8 nimemuona mjinga snaa
Sikuwahi kuona akipendwa mahali!Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.
Duh..acha roho mbaya, walinyimwa mpaka hela za likizo ili khali wenyewe wanajilipa!
Aliyeondolewa na Aliyekwa hawana tofauti so hakuna unafuuKatika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.