Tetesi: TANESCO 'kwazizima' Makamba kuhamishwa Nishati. Waendelea na 'mfungo'

Wew Bila Shaka Ni mercy makoi kwa jinsi ulivyo furushwa kutoka u rfo wa mkoa Kisha kutupwa DSM Kwenye kitengo cha data entry ,capex
 
Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.

Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.

Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.

Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Ila sijaelewa hilo lalamiko la " kufutwa kwa safari".safari ya kikazi ikifutwa inakuwaje tena ni issue kwako wakati unakukuwa umepunguziwa kazi.si ndiyo inabidi umshukuru huyo aliyefuta safari maana ana mpanga wa kutaka upate muda wa kukaa na familia yako muda mwingi.na hivyo anakuwa anakupunguzia usumbufu.

Halafu anasema hata zile zenye umuhimu nazo zimefutwa.inaamana nyingi zilikiwa siyo mhimu

Linapokuja suala la kubana matumizi ya serikali nadhani ni suala la msingi.Matumizi makubwa kwa Tanesco ni mateso kwa mtanzania wa kawaida

Labda kama wanayo malalamimo mengine yemye mashiko
 
Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.
Makamba alikuwa Bogus; ila U-Bogus wake sio kwa hilo (Binafsi kama alifuta hizo so called safari alifanya vema.., Safari za kazi gani ?!!! Kukata Umeme na Kusambaza Mgao ?!!!!

Kwahio na huyu kama atarudi ili kuhakikishia Safari hizo zinarudi nadhani atakuwa amekosea; Huwezi kujiita mfanyakazi wakati kazi haifanyiki... Kazi ya Waziri sio kuwafurahisha hawa mabwana (wanalipwa mishahara) ni kuhakikisha huduma ya umeme inakuwa ya uhakika na gharama nafuu
 
Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.

Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.

Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.

Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hahaha kama ni kweli uyasemayo na jinsi ninavyoifahamu Tanzania, January aliwashika pazuri.

Waliishi kwa mazowea kwa miaka mingi, January na Maharage wamefumuwa mifumo ya ukitlritimba na wameupiga sana vita wizi huko, wameweka mifumo inayoendana na utendaji "performance". Wameuondowa ukiritimba huko kwa kiwango kikubwa sana.

Makamba anakwenda kuondowa ukiritimba wa mambo ya nje.

Wanaoshangilia wajitayarishe na kulia, anaekuja ndiyo hana zaidi ya kazi tu.

No free lunch.
 
Jamaa yupo smart sana.. Sema watu tuna tabia ya kupenda kuangalia mabaya ya watu.. hatujui mazuri wala hatutaki kuona mazuri yake ndio shida ipo hapo.. But jamaa yupo smart sana
Naomba unipe point tano nzito ambazo utatetea hoja yako kuwa January makamba ni genius tena uwe na ushahidi/mifano wa/ya kusindikiza point zako.

Unaposema mtu ni genius basi ni lazima una ushahidi wa kisayansi kuelezea amefanya nini.

Nitakupa mfano, mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi alibuni mradi wa treni ya mwendo kasi ambapo alitumia engine ambazo zilitelekezwa bohari zikatumika kupunguza idadi ya wasafiri muda wa alfajiri na alasiri. Na mapato ambayo hayakuwahi kutokea yakawepo na ile project imekuwa msaada hadi sasa.

Haya nipe wewe point kumuelezea genius makamba amefanya jambo gani la kumpa hadhi ya u'genius.
 
Wapi nimesema January ni genius ?
Nimesema Janaury yupo smart, kutokana na vigezo vyangu na hata wizara walipo mpa sasa hivi ndio mahala pake.
 
Hata mm namkubali ila kwenda kumunulia kimada Barbra v8 nimemuona mjinga snaa
Sio Umeme kukatika na mgao usiokwisha na excuses zisizo na mwisho...

Kamnunulia V8 unajua anachopewa ? Material things have Price Tag.., kitu anachopewa mtu sehemu ambapo yeye Binafsi amefika ni Priceless
 
Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.
Sikuwahi kuona akipendwa mahali!
 
Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.

Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.

Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.

Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Aliyeondolewa na Aliyekwa hawana tofauti so hakuna unafuu
Waendelee kufunga na kuomba
Safari bado sana
 
Back
Top Bottom