Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiku kuamkia Jana wamesababisha shoti na huu umeme wao wa kata rudisha, nyumba na maduka vimeungua.Pole sana mkuu, yaani tunaishi kama mashetani
Shida wanaohesabu kura na kutangaza matokeo ni wao wenyewe mkuuTusipochagua Kiongozi wa nchi kupitia chaguo la wananchi, tukiitegemea ccm ituletee Kiongozi imekula kwetu mazima
Hata hawajielewi mkuu!Mkoa mzima wa Mbeya una sub station Moja TU ya kuongezea umeme nguvu!
Tanesco hili mnalijua?
Na sisi ni hivyo hivyo tu mkuu, lakini ukilinganisha ratiba yao waliyoitoa ya wiki hii, ni vitu viwili tofauti.Jana hapa Mbeya wamekata sasubuhi wakarudisha saa 1 usiku wakakata tena mpaka saa 3 usiku wakarudisha
Leo tena wamekata asubuhi mpaka sasa haujarudishwa. Hii ngoma kama jana tu
Tanesco ni shirika la kifara sana
Kwa kweli aisee, tunakoma haswa!! Mwanzo walisema ukame, mvua hamna, mvua zikaanza wakasema hazinyeshi ukanda wa bwawa (Ruaha), sasa hivi zinapiga kweli kweli ukanda huo huo, lakini hali ndo inazidi kuwa mbaya!Ata uku kwetu wamekata saa mbili asubuhi mpaka sasa hakuna kitu.
HILA KWA HILI LA UMEME TUNA MKUMBUKA SANA MWENDA ZAKE
Anachanja mbuga tuu!Mama yenu wala hana habar
Mbunge taarifa anazo mkuu tayari siku nyingi tu. Lakini hatujaona mabadiliko.Mwambieni mbunge wenu. Simu moja tu kutoka kwake Mbeya mwahhhh.
Au Kama tatizo anaona sio tatizo.
Kaamua kujivika uchawa labda ili apate uwepesi fulani kwenye masuala ya TRA. Bongo ukiwa mfanyabiashara mkubwa lazima ujue "kula" na sirikali. Huyu unaweza kuta kodi anayolipa kwa mwaka kwenye biashara zake ni ndogo kuliko PAYE unayokatwa wewe kwa mwaka mzima.
Si wanasema nchi yetu ni channel ya comedy huko mbinguni?Yaani Tanesco hakuna wataalamu hadi Dewji ambaye elimu yake hatuijui ndo aje atoe ufafanuzi wa uhaba wa umeme nchini, comedy kama hizi utazipata kwenye nchi ya wadanganyika pekee.
Vipi Lucas mwashambwa hayuko Mbeya?Mbunge taarifa anazo mkuu tayari siku nyingi tu. Lakini hatujaona mabadiliko.
Hahahahaha...!! Huyo mzee wa kusifia kila kitu mkuu. Ni hatari.Vipi Lucas mwashambwa hayuko Mbeya?
Ngoja nimwambie Luhaga Mpina mtetezi wa wanyonge.
Kanda ya ziwa hukuHongera mkuu. Uko pande zipi aisee nitafakari kuhamia huko? Mbeya huku suala la umeme ni mateso bila chuki.
Shinyanga, Mwanza, Bukoba, Geita au Simiyu mkuu? Nataka kuhamia huko. Juzi nilikua naongea na jamaa yangu yupo Mwanza, na yeye alikua analia tu kama huku Mbeya, so sio Mwanza nahisi.Kanda ya ziwa huku
GeitaShinyanga, Mwanza, Bukoba, Geita au Simiyu mkuu? Nataka kuhamia huko. Juzi nilikua naongea na jamaa yangu yupo Mwanza, na yeye alikua analia tu kama huku Mbeya, so sio Mwanza nahisi.
Nitahamia huko mkuu😂😂Geita