Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

Jana hapa Mbeya wamekata sasubuhi wakarudisha saa 1 usiku wakakata tena mpaka saa 3 usiku wakarudisha

Leo tena wamekata asubuhi mpaka sasa haujarudishwa. Hii ngoma kama jana tu

Tanesco ni shirika la kifara sana
 
Na sisi ni hivyo hivyo tu mkuu, lakini ukilinganisha ratiba yao waliyoitoa ya wiki hii, ni vitu viwili tofauti.
 
Ata uku kwetu wamekata saa mbili asubuhi mpaka sasa hakuna kitu.
HILA KWA HILI LA UMEME TUNA MKUMBUKA SANA MWENDA ZAKE
Kwa kweli aisee, tunakoma haswa!! Mwanzo walisema ukame, mvua hamna, mvua zikaanza wakasema hazinyeshi ukanda wa bwawa (Ruaha), sasa hivi zinapiga kweli kweli ukanda huo huo, lakini hali ndo inazidi kuwa mbaya!
 
Kaamua kujivika uchawa labda ili apate uwepesi fulani kwenye masuala ya TRA. Bongo ukiwa mfanyabiashara mkubwa lazima ujue "kula" na sirikali. Huyu unaweza kuta kodi anayolipa kwa mwaka kwenye biashara zake ni ndogo kuliko PAYE unayokatwa wewe kwa mwaka mzima.
Yaani Tanesco hakuna wataalamu hadi Dewji ambaye elimu yake hatuijui ndo aje atoe ufafanuzi wa uhaba wa umeme nchini, comedy kama hizi utazipata kwenye nchi ya wadanganyika pekee.​
 
Back
Top Bottom