TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

Iringa bado kero ya mgao ipo palepale, sijui hiyo mitambo ya umeme wanasiasa wanaosema imewashwa ni ya nchi gani!
 
Iringa bado kero ya mgao ipo palepale, sijui hiyo mitambo ya umeme wanasiasa wanaosema imewashwa ni ya nchi gani!
Nchi hii matatizo kila kona, unalipa kodi ila hupati social services! hakuna umeme, mahospitalini huduma mbovu, barabara mbovu, maji shida, elimu madawati madarasa walimu, mfumuko wa bei! khaa!
 
Siwezi kwa sababu akili zako zimejaa consipiracy theories zisizo na ukweli wowote. Ninyi ni wale mnasoma vitabu vya dini na kuelewa ndivyo sivyo au mnawapa ''manabii'' akili zenu wazishike. Una tofauti gani na Gwajima aliyekuwa anasema ugonjwa wa korona unakwenda kuinuaMagufuli na Tanzania iwe nchi tajiri kuliko zote kwa sababu wamekataa chanjo? Kuwa eti nchi nyingine watageuka ndondocha wote.
Una uhakika wa unayosema,au unataka kujifurahisha tu?Na hata madudu ya conspiracy theories nani kayaweka akilini mwenu.Amkeni,NWO wanataka msijue siri zao.
 
Back
Top Bottom