Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Nikwambie sasa kuwa Magu hakuweza kama ilivyokuwa inasemwa... LEO KAANGALIE FOLENI YA WANAOSUBIRI MITA KWA HIYO 27,000/- It was not practical.. ilikuwa ni mihemko ya kisiasa tu...

Watu wengi wamevuta kwa hiyo 27k mimi nikiwa mmoja wao
 
Mi nipo DSM na nimelipia jana[04/01/2022] hiyo 27k. Sijui itakuwaje. Ngoja nisubirie
Duuu we noma.
Mie nililipia elf 27 tokq mwezi wa 10 mwaka jana.sijafungiwa Sasa bei imebadirika sijui itakuaje
 
Mwendazake anakusalimia , amenituma kuulizia habari za upendo wake kwa taifa lake.
Majibu yanamiminika yenyewe. Nani anawapenda na yupi anademka.
 
Wacheni porojo za kutetea ujinga! Serikali inao uwezo wa kushusha bei ya umeme ikitaka!
 
Lazima nchi iendeshwe kwa watu kuchangia kidogo walichonacho 😊
 
Kilichosababisha ni umeme kuwa pungufu, kama bei itakuwa bwerere muuzaji ataelekea kukosa bidhaa ya kupelekea wateja wapya
 
Ufafanuzi wa gharama unahitajika. Hapa ukweli mteja analipa gharama zote za kuungiwa umeme. Mapato yatokanayo na kuuza umeme yanakwenda wapi?
Mapato yanatumika ku run shirika katika issues mfano za maintenances, generation, transmission na distribution. Pia kuna gharama za uendeshaji za kawaida zinajulikana haina haja ya kuzitaja.
Nguzo za umeme kwa wakulima kununua haizidi elf 30 kwa mti mmoja.
Hii laki 530000 kwa nguzo moja inakaaje hii
Pamoja na hilo lakini ujue kuwa Tanesco wao hawauzi nguzo wala vitaa vya umeme. Tanesco ni utility company (shirika linalotoa huduma).

So simply ni kuwa wao huo mchanganuo sio kwaajili ya wewe kununua nguzo au kifaa chochote ni kwaajili ya wewe kupata huduma hiyo.

Hata ukisoma quotation kabla ya kulipia unaambiwa vifaa vyote kuanzia kwenye meter waya mpaka nguzo vinabaki kuwa mali ya shirika na ndio maana hata ikitokea nguzo imeoza au meter imeharibika wa replace wao bila wewe mteja kuingia gharama yoyote.

Hivyo basi muelewe kuwa hamnunui nguzo wala kifaa chochote bali gharama mnazotozwa ni kuchangia ili ufikishiwe huduma ya umeme.
 
EWURA si ndio regulator wa mambo haya kati ya mteja wa tanesco na tanesco wenyewe. EWURA ameridhia kweli bei hizi?
 
Kama kuna mkeka wa ada wautoe fasta sio wajisubirishe mpk jpili jioni wakati jtatu shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…