Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

hio njia moja,2 na 3 maana yake nini ?
sielewi hapo mimi
 
Huyu Mama ni tatizo kubwa kwenye hii Nchi ndani ya miaka yake mitano tutapata tabu sana Israel asipoingilia kati hili suala 🙏🙏🙏
 
Kumbuka ukinunua umeme unakatwa kodi ya majengo ,unakatwa hela ya kusambazia umeme.

Ilitakiwa bei ya kuunganisha iwe chini ili waunganishe wengi uwakate kodi .

Waziri wa mchongo anaitwaga smart twita hawezi kumsaidia mama zaidi ya kumchonganisha na wananchi tu
 
Watanzania sisi tuna shida watu wale wale waliomuomba mungu awaondolee magufuli na akasikia kilio chao Leo wanamuomba tena awaondolee samia basi tuwape nchi wazungu watuongoze.
 
Sikio la kufa halisikii dawa. Tanesco ambayo inachangiwa nguzo na wateja bado ukinunua LUKU ukatwe EWURA na REA. Kiburi na ulevi wa madaraka tu. Mimi na walaumu Watanzania wenzetu ambao ni ndugu, Babu bibi Mama baba shangazi wajomba binamu kaka dada nk wanaowafanya hawa wafanyamaamuzi wawe na hiki kiburi.

Unawalaumu bure, pengine hawahusishwi kwenye kufanya wafanya maamuzi wawepo. Natamani uelewe nilichoandika mkuu.
 
Mwigulu Nchemba alileta hoja bungeni ya kuondoa VAT kwenye smartphone na ikaondolewa kweli ili zishuke bei na watu wengi sana wanunue alafu awakate tozo.

Hivi kati ya smartphone na umeme ipi cha muhimu?
 
Serikali haiweki chochote au haigharamii chochote kwenye smartphone toka inadizainiwa mpaka inamfikia mtumiaji.. Kwenye umeme kuna gharama serikali inaingia
 
Serikali haiweki chochote au haigharamii chochote kwenye smartphone toka inadizainiwa mpaka inamfikia mtumiaji.. Kwenye umeme kuna gharama serikali inaingia
Kwani kwenye elimu bure serikali haingii gharama
 
Ni kazi sana kuzuia ushuzi usitoke ndani ya CHUPI. Ushuzi huo uliochanganyikana na harufu ya mashudu sasa umeanza kusambaaa na bado yetu ni macho tuu!😃😃😃
 
Ni kazi sana kuzuia ushuzi usitoke ndani ya CHUPI. Ushuzi huo uliochanganyikana na harufu ya mashudu sasa umeanza kusambaaa na bado yetu ni macho tuu![emoji2][emoji2][emoji2]
Duh
 
Back
Top Bottom