TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

Tanesco wameanza utapeli. Kumbe zile token mpya zilikua kutuongezea gharama kubwa
 
Mkuu huko nimeshapiga weee,lakini wapi,no connection.Hiyo namba ni janga mkuu.
Ndio zao,mimi ilichukua wiki 2 wakati tunawaambia waje kutoa bomba lina nyaya za umeme,kuna jirani alivunja nyumba halafu lie bomba liliokuwa na nyaya za umeme akatundika nilpokuwa nakaa,ilibidi wapangaji wote tukomae na Tanesco tu
 
Nadhani kuna haja ya Ku-switch to solar,naona monopoly imewalevya hawa watu.Tulidhani Bwawa la Nyerere litashusha bei ya umeme kama Hayati JPM alivyokuwa ameahidi, hali ndio inazidi kuwa mbaya,unbelievable.
Makato nusu kwa nusu
 
Hukununua umeme kwa miezi mingi ndo maana wamechukua makato mengi
 
🤣🤣, kuna siku buku kumi itaenda na hupati unit hata moja.
 
Hivi wazenji nao wanakatwa hizi kweli au ndo wanasamehewa kama kawa kwa mgongo wa Muungano
 
🤣🤣, kuna siku buku kumi itaenda na hupati unit hata moja.
Inawezekana kabisa.Uingereza wameshaanza kukataliwa kuchukua hela zao Bank,so yes,that is coming.See here.
You remember their slogan,"They will own nothing,but happy?" Yes,this is not too far away off.
 
Hawa watu sijui wanatuonaje
 
Hawa watu sijui wanatuonaje
Unajua mkuu,zombification inaendelea,so labda wameambiwa wajaribu kina cha maji na handlers wao,because there are no other words to describe what they are doing to us.
 
Mpeni Kaisari yaliyo yake na Mungu yaliyo yake. Wewe kama ni mkristo suala la kodi limetolewa ufafanuzi kwenye Biblia.

Umeongea mengi ambayo labda yanaweza yakawa na maana au yasiwe sahihi kwenye hii mada. Suala la muhimu la kuhoji ni matumizi sahihi ya kodi na siyo kugoma kulipa kodi wakati una uwezo wa kulipa kodi.
Haiingii akilini una nyumba yenye thamani ya milioni 10 halafu kodi ya pango ya shilingi 1500 kwa mwezi unaona ni wizi.

Wewe kama unapinga kulipa kodi tafuta dunia yako ukaishi maana hapa duniani sidhani kama nchi ambayo hailipi kodi.

NB: Naonaga mada zako nyingi, nahisi wewe ni aina ya watu ambao EXTREMISTS.
 
Hapo umenunua umeme wa buku 4 tuu ulikiwa unadaiwa hela ya jengo miezi minne ! So pliz usilalamike tena
 
Hapo umenunua umeme wa buku 4 tuu ulikiwa unadaiwa hela ya jengo miezi minne ! So pliz usilalamike tena
I hate this type of language.Eti nadaiwa,wameniuzia nini au wamenipa service gani.Acheni kuhalalisha uovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…