TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

Sasa kwanini wewe umekatwa afu sita
Sababu wamezieleza kwenye tangazo lao la ujumla kwa uma ambalo nime-attach,ila kwa bahati mbaya katika tangazo hilo changamoto ambazo zimejitokeza zinapaswa kujibiwa specifically na Wizara ya Fedha ambao kimsingi ndio watunga sera wa Government Revenue.Kwa kweli TANESCO wao ni watekelezaji tu.TANESCO tunawapiga mawe kwa kuwa ndio tunaowaona.However the truth remains that the government is stealing from us and we do not have anybody to defend us.
 
kila la kheri mkuu
 

Ni wizi mkubwa sana,yaani watanzania kwa sasa hatuna mtetezi
 
Huyu mama aisee!! basi tu nimetukana kimoyo moyo😁
 
Ndugu Mteja Tazama deni, mfano kodi ya jengo kwa kubofya *152*00# ,
Chagua 4,
Chagua tena 4,
Chagua 3,
angalia deni, ingiza namba ya mita, Chagua namba ya deni.
 
Yawasaidie wengine kivipi. Dumb head!
Hata hao wengine wana miguu na akili ya kwenda tanesco. Kwamba wewe ni saint unawaendea tanesco.kila.mtu mwenye tatizo la luku/umeme. Acha kujichosha na kujipa umuhim bila sababu.
Punguza ujinga.Ujinga hauna faida dunia ya leo.
 
Ni kweli Hawa wapuuzi wameongeza kiasi Cha makato mwanzo nilikuwa napata unit 16.1 kwa 5000 ila naona Leo nimepata unit 15.3 kwa hiyo hiyo 5000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…