TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11 units.

Nawaombeni mnipe breakdown, maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo suala la kulipia majengo, lakini hata hili sidhani kama ni fare. Kiwanja changu, hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa, very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo. Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.

Malipo yamekamilika. 43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00

Soma===>>> KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

9003241851825164904
Units 22.4KWH

2629 1866 1530 0953 0645


Cost 6,557.38
VAT 18% 1,180.33
EWURA 1% 65.57
REA 3% 196.72
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 10,000.00
 
Hapa ndipo tulipofikia umeme wa 5000 unit 5.2 wamelamba sh 3000 sijui ni makato ya nini
Bora hata ya ww , mm nimenunua wa 4000 wamenikata 4000

Kwel huu ndio wakati wa kazi iendelee
 
Mimi elf 5 nmepata unit 1.4 hii nchi imekua ya ajabu sana
Screenshot_20240704_223418_Messages.jpg
 
Back
Top Bottom