Mzee wa fitna
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 341
- 188
Pole sana mpendwa mtejaUkifungiwa mita mpya unachukua mda gani mpaka usajiliwe? Nina mwezi leo naambiwa hakuna internet na sijasajiliwa, mda wote kwani kusagili ni kazi kubwa?
Ndugu mteja,Binafsi natoa malalamiko yangu kwa tanesco huku nikiwawakilisha watu wengine wengi wenye tatizo kama langu. Kwa muda sasa tumekuwa tukilipia madeni yetu kwa njia ambayo ilituwezesha kuendelea kupata huduma ya umeme. Yaani kwa mfano kama ulikuwa ukidaiwa na Tanesco, pindi ukinunua Umeme wa Shs. 50,000/= basi utapata Umeme wa Tshs. 25,000 tu ikimaanisha 25,000/= nyingine imeenda kulipa deni. Njia hii ilikuwa na unafuu mkubwa kwa sisi ambao tulikuwa tunadaiwa lakini hiki ambacho mmekifanya sasa cha kutuletea kiasi maalum na kututaka kulipa kila mwezi ni uwonevu hususani katika kipindi hiki cha kujenga uchumi wa viwanda wakati hali ya uchumi kwa wananchi ni tete. Mfano tu, Binafsi kila mwezi mmenipangia kulipa elfu 85,000/= naitolea wapi hii pesa? Yaani kwa mwezi ili niwe na uhakika wa Umeme kuwaka i have to pay si chini ya 100,000/=. Tafadhalini muwe na huruma, hatuwezi kwenda kwa staili hii. Tafadhalini, mtushauri nini tufanye ili mpunguze hii charge, vinginevyo mnataka tusitumie tena umeme kwenye nchi yetu.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOMkuu TANESCO ninatatizo kubwa,,kuna brother angu alinunua umeme KWA njia ya Simu,,akauweka ulikuwa WA 4000,,ukaingia but TAA hazikuwaka,,tukawaambia TANESCO wakasema watakuja,,but hawakuja,,tukanunua tena WA 2000,,hiyo ni cash sasa,,ukaingia lkn TAA haziwaki yaani miter inaonesha umeme upo unit zp but not used,,,tukanunua tena WA 6000 but unit zipo chakushangaza Hanna chochote kinachofanyika,, TANESCO kimya naambiwa na watu WA TANESCO kuwa miter inajikopesha,,ninunue tuu,,inashangaza TANESCO wameshindwa kusolve tatizo,,miter yangu ni hii 54201495204
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOJana niliandika malalamiko yangu kuhusu mita yangu mpya kutosajiliwa zaidi ya mwezi, sijapata jibu na nipo gizani