Joseph Abdallah Lebai, simu no 0755282346 , mkoa wa Pwani, wilaya ya Bagamoyo, mtaa wa Kerege Gitonga - CCM, kituo maarufu ni Kerege CCM. No ya mita 24211016928 ya zamani, mita mpya 24219770880 .no ya kuripoti tangu mwanzo ni 3714 .

Shida yangu sijasajiliwa tangu nifungiwe tarehe 15/11/2017 . Huwezi kununua umeme kama hujasajiliwa. Nisaidieni kwani nilienda Bagamoyo nikaambiwa sijasajiliwa, tangu siku ya kufungiwa internet haikuwepo???
 
Tuna nyumba tumeipangisha kwa wapangaji 7 ambapo kila mpangaji ana chumba na sebule.
Nasikia mna vifaa vidogo vyenye gharama nafuu mnavifunga kwa kila kaya/chumba vitakavyosoma matumizi ya kila mtu .
Ni kweli, na je utaratibu ukoje?
Vifaa hivi inapatikana maduka maduka ya vifaa vya umeme na ni mkandarasi wako binafsi aliyesajiliwa ndio anavifunga
 
Tumeipokea mkuu tunaifanyia kazi
 
Tanesco mita yangu imebadilishwa tarrif nashindwa kununua umeme 22132183728
 
Wakazi wa arusha moshono kwa laizer tunapata shida sana ya umeme kua mdogo,transformer iliyoopo hapa inahudumia nyumba nyingi sana mpk umeme kua mdogo.

Na maeneo hata kuna mashine yan kusaga nafaka akiiwasha tu basi wengine huku ni giza.

Tafadhali tanesco tusaidieni kupata transformer nyingine.
 
Tunaomba namba yako ya simu mpendwa mteja
 
Mkoa wa lindi namba yangu 0713995578 mita namba 22132183828 ujumbe mita imefungiwa Tafadhali wasiliana na tanesco
Tumepokea mpendwa mteja
 
Kuna tatizo gani kibamba make mnakatakata umeme hovyo kuanzia saa 4 asbh hd saa 12 jioni mnatuumiza wengine tunauza kandoro zitapoa saa ngapi?
 
Kuna tatizo gani kibamba make mnakatakata umeme hovyo kuanzia saa 4 asbh hd saa 12 jioni mnatuumiza wengine tunauza kandoro zitapoa saa ngapi?
Je muda huu hauna umeme? Kama ndio tunaomba namba yako ya simu mkuu
 
Soma uzi wangu vzr mkuu nimesema unakatwa saa 4 asbh na kurudishwa saa 12 jioni,sasa hv ni saa1:52 usiku
Lini na je ni wewe mwenyewe kwa kuwa week hii umeme umetulia vizuri kabisa
 
Unapotoa ushirikiano kwa tunachokuuliza unatusaidia sana kukuhudumia , tunaomba taarofa zako mkuu
TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA.

NDUGU WAPENDWA WATEJA WETU MNAOTOA TAARIFA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII TUNAWAOMBA MZINGATIE YAFUATAYO ILI KURAHISISHA UFAFANUZI NA UFUMBUZI WA TATIZO AU TAARIFA HUSIKA

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
 
MWANAKA,
Tunawapendwa wateja wetu na tunapenda ushirikiano wenu ili kurahisisha kazi ya kuwahudumia

Mkuu nimejaribu kama mlivyoniambia nicheki main switch,,mainswitch uko sawa ila umeme haufiki hapo kwenye main,mkuuu
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Mkuu nimejaribu kama mlivyoniambia nicheki main switch,,mainswitch uko sawa ila umeme haufiki hapo kwenye main,mkuuu
 
Mkoa wa lindi namba yangu 0713995578 mita namba 22132183828 ujumbe mita imefungiwa Tafadhali wasiliana na tanesco
Tatizo language bado halijaisha nimepewa key change lakini nikinunua umeme bado naambiwa mita imefungiwa MTU wenu nimewasiliana nae kaniambia nikanunue kwenye vituo vya luku huku nilipo hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…