Habari zenu wanajamvi, niende moja kwa moja kwenye tatizo langu
.
Mimi ninalia na TANESCO jamani, nilikwenda tanesco maeneo ya posta nataka kuwekewa Luku yangu, wakanambia nifate process, process ya kwanza nikafanya wirelling ndani nikamaliza, process ya piili wakanipa mtu nikamlipa pesa akaja kunichorea mchoro akamaliza akapeleka ofisini, process ya tatu nikaambiwa nikalipie tanesco gharama ya kuwekewa luku ambayo ni laki 321,000. Nimelipia tangu tarehe 28 mwezi uliopita mpk leo ni siku ya 10 TANESCO kimyaaaaaaa, hawaji kuniwekea luku tatizo ni nn?
Nikiwapigia wafanyakazi walonihudumia hawapokei. Tatizo ni nn??? Nimelipa kila kitu why hawaji kuniwekea luku?
Plz naomba msaada wenu[emoji24]