Ndugu mpendwa mtejaTANESCO TEMEKE TUMEWAKOSEA NINI AU NI MGAO?? KWANINI HAMSEMI?? UMEME UMEKATIKA SAA 1 HADI SASA HAKUNA TAARIFA YENU, MNATUWEKAJI SISI WANANCHI? SHIDA NINI?? MIMI SIJAPASI NGUO ZA KESHO.. UNARUDI AU HAURUDI?
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOyaliyotokea kwenye sukari yanatokea kwenye umeme..
pombe anawakamata IPTL bila kujipanga !
dar nako mgao hadi kero, muda huu tuna comment gizani..
kwenye huu mgao eti kila mkuu wa mkoa awe amejenga viwanda 100 mwisho wa mwaka..
labda viwanda vya vyerehani.
kumbe huu ndio ukuaji wa uchumi ?!!
yaliyotokea kwenye sukari yanatokea kwenye umeme..
pombe anawakamata IPTL bila kujipanga !
dar nako mgao hadi kero, muda huu tuna comment gizani..
kwenye huu mgao eti kila mkuu wa mkoa awe amejenga viwanda 100 mwisho wa mwaka..
labda viwanda vya vyerehani.
kumbe huu ndio ukuaji wa uchumi ?!!
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOMkuu Kusini ishakuwa hali ya kawaida hiyo tanesco wenyewe wanasema hili tatizo linajulikana ila kuwa litaaisha lini hakuna mwenye majibu...... Mwaka jana kuna mteule mmoja alisema hili tatizo ltaaisha December 15, 2017 ila cha ajabu leo ni tarehe 06/January/2018 tatizo lipo palepale.
Blah blah kila siku.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOKuna tatizo la umeme kukatika kutokana na shock kwenye guzo ya umeme ambayo iko ndani ya uzio wa nyumba. Toka jana ulikuwa unatishia kukatika ila leo asubuhi umekatika eneo hili sehemu nyingine upo. Ni maeneo ya brajec grill-survey. Tunaomba emergency number za wahusika wa maeneo haya kuwa direct eneo la tatizo
Wengi wetu hapa JF tumekuwa tunatumia majina bandia, kitendo cha kujaza hii fomu hapo juu, kutakuwa kuna maana ya sisi kujificha kweli.? Au tunaruhusiwa pia kuja PM. Natanguliza shukurani kwa jitihada zako.MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Bro umeme wa buk3,hahahah,..naona walishauriana wakasema huyu kijana huu umeme yuko serious ama vip,ngoja tumkomoe,hahahaha,jokeTANESCO ivi ili tatizo langu hamlioni ama vipi, naona hata kunidanganya hamnidanganyi.
"Tangia tarehe 10 Dec nimenunua umeme hela imekatwa sijatumiwa umeme tigo wanasema tuwasiliane na nyinyi hampokei
mita no 07037342412
simu no 0718040202
Kiasi 3000 tu
naomba ikiwezekana nitumiwe hapa hapa"
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOhivi tanesco akili zenu zina akili kweli? hivi mnajuwa kuwa system ya Maji hapa jijini inategemea umeme? wiki nzima umeme Wa kusuasua Maji hakuna tumebaki kuishi kama mashetani.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOWakuu .nmepewa taarifa toka juz kua bro huku umeme wa shida sana,maeneo ya mwenge kwenda mbez beach had goba ,.wenye biashara znazohtaj umeme wanalia,mi ni m1 wapo,niko mbal kikaz ila vijana wangu wananipa hzi taarifa kua hal ya umeme inakwamisha sana,sasa tanesco mnafanya kaz kwa kubahatisha ama nin.hiv karne hii bado mnatesa watu kwel,yaan radi lisipige,mvua isinyeshe,mnakata,kwan mnatumia mitambo ya mwaka gan?mbona mnatia sana aibu jaman.
Msijifanye wajanja kwahyo mnataka tuanikane humu,..si nmeshakwambien,kua ni mbezi beach.goba,..njia ya mwenge hyo had tegeta mbele huko.madale etc,..unataka majina yanin,nawew unaetype bas anika jina lako hapa..#/@^#&$& kabsaMFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Na hyo" tanesco tunayaangaza maisha yako"..muifite kabsa,..yaan nataman mkuu awamalize kabsa nyinyi,jengo lenu linavunjwa bado hamtii adab,ngoja tumpampu mkulu awatimue kama NIDAMFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO