MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKONa hyo" tanesco tunayaangaza maisha yako"..muifite kabsa,..yaan nataman mkuu awamalize kabsa nyinyi,jengo lenu linavunjwa bado hamtii adab,ngoja tumpampu mkulu awatimue kama NIDA
Ushaona sifa eeh kutuma hlo li sms..haya bas achana namim,..nyi jeur kumbe..ngoja tumtafte mfuga mbwa sasa,maana wanasema usiongee na mbwa,ongea na mfuga mbwa..siku njema.MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Token 7104 5909 8937 0434 5507TANESCO ivi ili tatizo langu hamlioni ama vipi, naona hata kunidanganya hamnidanganyi.
"Tangia tarehe 10 Dec nimenunua umeme hela imekatwa sijatumiwa umeme tigo wanasema tuwasiliane na nyinyi hampokei
mita no 07037342412
simu no 0718040202
Kiasi 3000 tu
naomba ikiwezekana nitumiwe hapa hapa"
Bro umeme wa buk3,hahahah,..naona walishauriana wakasema huyu kijana huu umeme yuko serious ama vip,ngoja tumkomoe,hahahaha,joke
Bro Napoleone sio ndogo nimekuelewa, ila mara gafla usiku unakata tigo pesa salio dogo kaka unaamua tu kuweka japo ifike asubuhi unafanya maarifa mengineBro umeme wa buk3,hahahah,..naona walishauriana wakasema huyu kijana huu umeme yuko serious ama vip,ngoja tumkomoe,hahahaha,joke
Big BabaToken 7104 5909 8937 0434 5507
Units 8.5
Tanesco, kuna shida gani kigamboni? Tunakaa zaidi ya saa 14 bila umeme, imekuwa kawaida sasa. Basi tuelezeeni nini tatizo, na utatuzi wake umefikia wapiMFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOTanesco sikieni kiliochetu watu wa moshi maeneo ya mamboleo! Hii siku ya nne hakuna umeme baadhi ya maeneo na tumeshatoa taarifa ila hakuna jitihada zozote!
Transformer hii inashida kubwa km inawezekana ibadilishwe tupate umeme wa uhakika bila mangung'uniko,,
Samaki zangu wameoza, nyanya, nyama imeharibika maziwa yameharibika, mnatutia umasikini.
Asubuh hata kunyoosha Nguo ni kero kubwa
TANESCO MKOA WA KILIMANJARO, Mkurugenzi mkuu tunahitaji UMEME.
JALINI WATEJA WENU! MMENITIA HASARA KUBWA
Namba ya simu ya kazi gani sasa? Kigamboni yote hakuna umeme tangu alfajiri mpaka wakati huu. Toeni taarifa ya kueleweka basiKiga,boni sehemu gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
Ulipewa namba ya taarifa ngapi? Namba yako ya simu na eneo lako tafadhali,Tanesco tabata hamko serious. Maneno mengi vitendo zero. Kuna nyaya zimeangukia kwny ukuta nimelalamika miaka 5 sasa mnasubiri hadi afe ndio mshtuke. Ovyo sana nyie
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Hivi Tanesco mnatuona wajinga? Hyo form unanipa utaweza nilipa gharama ya Mali zilizoharibika?Ulipewa namba ya taarifa ngapi? Namba yako ya simu na eneo lako tafadhali,