Tunashukuru kwa maoni yako mpendwa mteja.ni eneo gani na namba yako ya simu na tatizo husika
 
Tunashukuru kwa maoni yako mpendwa mteja.ni eneo gani na namba yako ya simu na tatizo husika
Nishafunga Solar maana nimesubiri kuletewa umeme mwaka na nusu hakuna kitu,kwasasa sihitaji siku mkijisikia kuleta nguzo hata baada ya mika 7 sawa kwakuwa mpo peke yenu mmemonopolize soko,Wabunge wa CCM hawajielewi,Bunge nalo halijielewi wabadili sheria zao hizo TANESCO ipate competitor wake ndio akili itawakaa sawa,ona TTCL inavyojikongoja,Bakhresa angekubaliwa kuanzisha "TANESCO" yake hakika hamna rangi mngeacha kuona.
 
Leo tarehe 6/9/2018 ndio tunakwenda Tanesco Arusha .fuatilia kwa habari zaidi
Tanesco Arusha wezi wametuahidi tuingizia bank toka tarehe 6/9/2018 mpaka leo 6/10/2018 hakuna pesa tulioingiziwa .sana sana tumepokea habari za uwizi na udanganyifu unaofanyika tanesco Arusha .na kwa hili ataa makao makuu lazima mna husika ikiwa pamoja na wewe ofisa uhusiano aiwezikani umechukuwa maelezo ya ualifu umeenda kuyakalia.niko nasubiri kwa hamu kutoa ushaidi wangu Takukuru
 
Niliomba kuunganishiwa umeme nimeambiwa gharama ya kufungiwa umeme iko teyali na nimeorodheshewa na bei nahitajika nikalipe je nikilipa inachukua mda gani Kuja kufungiwa umeme?
Mita 50 kutoka kwenye Nguo maana toka nilvyoomba imefika imefika mwezi sasa
Bora yako ndugu, mimi ni mwezi wa nne huu hawajafika kuunga!
 
Tanesco lini mtanipa Umeme?
Mwaka 2020?
Namba zangu hizo
0686831819
Nimelipa tarehe 28/6/2018
Saa 16:28:48
Mpaka Leo hii hakuna kituView attachment 886692
Naungana na wewe, kwangu pia. Hawa watu bana:
Malipo yamepokelewa kwenda Tanzania Electric Supply Company Limited
Ankara Na: 991030225197
Kiasi: 515617.52 TZS
Risiti Na: 99003454909
Tarehe: 2018-06-29T17:02:43
Kupitia:EC100204944699
 
Naungana na wewe, kwangu pia. Hawa watu bana:
Malipo yamepokelewa kwenda Tanzania Electric Supply Company Limited
Ankara Na: 991030225197
Kiasi: 515617.52 TZS
Risiti Na: 99003454909
Tarehe: 2018-06-29T17:02:43
Kupitia:EC100204944699
Hadi leo nipo gizani, Iringa manispaa!
 
Nataka kuvuta umeme...majirani zangu wameshaweka...naomba unipe hatua za kuchukua.
 
Nataka kuvuta umeme...majirani zangu wameshaweka...naomba unipe hatua za kuchukua.
Tafadhali fika ofisi yeyote na kitambulisho utapatiwa fomu ya maombi ya awali.hakimisha wiring imekamilika
 
Kabla ya tuhuma nzito ni vema ukatoa taarifa kamili kwani ukurasa huu unasimamiwa na Makao Makuu.
 
Kabla ya tuhuma nzito ni vema ukatoa taarifa kamili kwani ukurasa huu unasimamiwa na Makao Makuu.
Nilisha kuelezea hapa kuwa tunadai Tanesco Arusha malipo ya fidia ya kuunguziwa vifaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…