Tanesco hampokei simu yenu tokea usiku 0768985100 mnaweka matangazo then mnakatika hewani. Shida yangu ni token ili niweze kununua umeme maana mmeamua kutukomesha na kuturudisha kwenye tarrif 1, namba ya mita ni 24212097125
3662962811230978 9011

18998559355924856052
 
Ninaomba kujua maximum time ambayo natakiwa kuwekewa Umeme nikishalipia make TANESCO Kyaka nimelipia tangu mwezi wa nane mpaka sasa Umeme bado. Sehemu yenyewe haihitaji nguzo lakini imekuwa ni kuzungushana kila kukicha. Kilichobaki naomba nijue ili nijue nitafanya nini.
 
Ndugu mpendwa mteja tunaomba namba yako ya simu,kiasi ulicholipa na wilaya uliyopo
 
TANESCO naomba kujua, nimefungiwa umeme wiki moja iliyopita mita ikiwa na units 10. Nikaambiwa zilitakiwa ziwe 50 sasa hizo 10 zikiisha natakiwa nilipie zile 40 ambazo baadae ninazidai. Ninaomba kujua utaratibu wa kuzipata hizo unit zangu 40 wenyewe wanaita free token!
 
Mimi sio tanesco ila kwa kukusaidia hizo 50 units sio free token kama inavyodaiwa.Siku umeme ukiisha ukienda kununua tanesco unazilipa kwanza halafu ndio unaendelea na utaratibu wa kununua umeme upya.
 
Basi walinidanganya hawa wajuvi!
 
Basi walinidanganya hawa wajuvi!
Bongo hakuna kitu cha bure mkuu.Ukipewa huku unakatwa huku,yaani kula na kulipa.
Ila ukiweza kuzitumia hizo 50units kwa mwezi automatic unaingizwa kwa watumiaji wadogo category 4,Kwa hiyo unakuwa unauziwa 75units kwa 9500Tzs kwa mwezi.
 
Tunaomba namba yakonya mita,namba ya simu na wilaya husika tufanyie kazi swala lako.unapaswa kununua kwanza umeme ili ukatwe ndio tukupatie umeme unit 40.nunua kuanzia 18000
 
Tunaomba namba yakonya mita,namba ya simu na wilaya husika tufanyie kazi swala lako.unapaswa kununua kwanza umeme ili ukatwe ndio tukupatie umeme unit 40.nunua kuanzia 18000
@TANESCO mimi pia nina tatizo la kutopewa unit zangu 40.. Nilifungiwa umeme mwezi wa 6 nimefatilia hadi nimechoka.. walionifungua umeme ni TANESCO Nyakato mwanza.. Namba ya mita 54182960069
 
Tunaomba namba yakonya mita,namba ya simu na wilaya husika tufanyie kazi swala lako.unapaswa kununua kwanza umeme ili ukatwe ndio tukupatie umeme unit 40.nunua kuanzia 18000
Nimetuma taarifa zangu PM tayari!
 
kawe mlalakuwa huku tunapata under voltage 191V tena kwa three phase line moja inazidiwa
 
@TANESCO mimi pia nina tatizo la kutopewa unit zangu 40.. Nilifungiwa umeme mwezi wa 6 nimefatilia hadi nimechoka.. walionifungua umeme ni TANESCO Nyakato mwanza.. Namba ya mita 54182960069
Namba ya simu 0767101328 .. Buswelu mwanza
 
Tanesco umeme kimara mwisho mavurunza jana tumelala giza na leo tena usiku umeingia mmekata . Je tatizo ni nini??
 
Shukuranu nyingi kwa Tanesco Arusha Helpdesk na Technicians Juzi mmenisaidia sana. Ningelipata hasara kubwa msingesaidia.
 
Umeme kazini kwangu tabata hakuna jana na leo
Narudi nyumbani kwangu bunju kuchaji sim nao umekatika tumelala giza bunju yote mbaka asubuhi hii naondoka nyumbani umeme haujarudi,naenda kazini najua kabisa kwa mujibu wa ratiba yenu leo umeme tabata hakuna mbaka jioni ndio unarudishwa
huuu ni umama tunaleteana ,,katika Taifa ili changa na masikini
Umeme ni ajira za watu hasa sisi mafundi.
 
Tanesco fundisheni watumishi wenu kutoa huduma kwa wateja ipaswavyo. Yaani waache udhani wa kuwa wananchi wanashida na wanatakiwa kuifikia tanesco iwe kinyume tanesco ndio yenye shida kwani wananchi wanaiongezea mapato na tanesco ndio iwatafute wananchi. Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…