Ndugu mpendwa mteja wetu
tunaomba ushikirikiano wa unacholalamikia ni nin?namba ya simu? Eneo? Tatizo ni nin tukuhudumie
 
Ndugu mpendwa mteja kuna nguzo iligongwa na gari usiku na kusababisha line zetu kutoka hivyo hatua stahiki zimechukuliwa
 
Ndugu mpendwa mteja kuna nguzo iligongwa na gari usiku na kusababisha line zetu kutoka hivyo hatua stahiki zimechukuliwa
TANESCO niliunganishiwa umeme.. Mwezi wa Sita nikapewa unit 10.. Nikaambiwa unit nyingine nitapewa baadae lakini hadi Sasa sijapewa.. Naomba unisaidie kwenye hili swala
Naishi Buswelu Ilemela Mwanza.. Niliunganishiwa umeme na TANESCO - Nyakato.. Namba yangu ya mita 54182960069 namba ya simu 0767101328
 
Ndugu mpendwa mteja wetu
tunaomba ushikirikiano wa unacholalamikia ni nin?namba ya simu? Eneo? Tatizo ni nin tukuhudumie
Nimeokatiwa umeme tarehe 14/09/2018 lakinini nimerudishiwa umeme tarehe tarehe 14/10/2018 mwezi mmoja baadae. Bila. Sababu yoyote maana mafundi chumba namb 2 mkoa wa temeke wala rushwa ndio maanatumepata tabu yote hii. Mwanzo walitaka tulipe laki tano (500,0000) ila baada ya kuwagomea tumelipa sh 41,000 na umeme wamerudisha. Punguzeni wizi ipo siku magufuli atawafikia. Nawachukia sana.
 
Angalieni namna ya kupunguza bei zenu maana sisi a viwanda tunapata hasara sana na mimashineyenyewe ya kichina hii ni shida tupu
 
Tafadhali tujulishe ilikuwaje na nani muhusika na namba ya simu
 
"Jina Edward C. Hizza, Namba yangu ni 0786208517/0714217107. Nyumba yangu ipo Toangoma Malela (Jirani na Kelvin Yondani)"
TANESCO mliniomba jina niliofanyia malipo na namba ya simu lkn sioni matokeo ya kufanyia kazi lalamiko langu.
 
Tumepokea.kwa hatua zaidi
 
Tunaomba namba yakonya mita,namba ya simu na wilaya husika tufanyie kazi swala lako.unapaswa kununua kwanza umeme ili ukatwe ndio tukupatie umeme unit 40.nunua kuanzia 18000
Nimewatumia taarifa zangu inbox lakini hamjanijibu! Kulikoni?
 
mita:22124473921
simu:0626620789
kiasi:10,000
tarh:18/10/18
muda:1800 hrs

sijapokea umeme
 
Nimebadlishiwa tarrifu toka agust mwaka huu na matumizi yangu ni 12 to 15 units per month,maelezo nliopewa ni kuwa mnafanya uhakiki wa matumizi je kwenye computer system zenu hazionyeshi matumizi ya mtu binafsi hadi abadlishiwe tarrif,je ni kwa wakazi wa moshi tuu,nini hatma yetu mitter number 24210087060,miezi mitatu ishakwisha nibadilishieni
 
Tumepokea kwa hatua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…