chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,894
Hakuna mgao tunaomba taarif za eneo lako na namba yako ya simu
Kwanini ukinunua umeme mwenyewe Kwa simu ya mkononi unakatwa ada tofauti na ukinunua kwa wakala.
Hili mimi naweza kukujibu sidhani kama wanakata ukinunua kwenye simu maana mi ndo huwa natumiaga ila sijawahi kukatwa hata senti
Niliuliza line yangu haina nguvu umeme mdogo mno na umeshaunguza vitu vingi vya friji nifanyaje je nikitaka kuhama lineIpi mkuu
Hii ipo muda sasa ukinunua kwa simu utakatwa 1.1% kama tozo ya njia husika lakini ukinunua bank au TANESCO au mawakala wale wakubwa haipo tuzo hiyo.Kwanini ukinunua umeme mwenyewe Kwa simu ya mkononi unakatwa ada tofauti na ukinunua kwa wakala.
Hii ipo muda sasa ukinunua kwa simu utakatwa 1.1% kama tozo ya njia husika lakini ukinunua bank au TANESCO au mawakala wale wakubwa haipo tuzo hiyo.
JinNijisajili kwa utaratibu wa kuunganishiwa umeme nikafuata taratibu zote za kujaza form na kulipia nikapewa siku 60 ndio watakuja kuniunganishia.Tarehe 20 November hii ndio siku ya 60 ,swali langu wasipo tokea ni utaratibu gani niufuate,
Asante
Nashukuru kulishughulikia tatizo hili. Limeshughulikiwa jana.Nguzo ndiyo hiyoView attachment 932072
Hawa jamaa wapo vizuri malalamiko yakiwafikia wanatimiza kwa haraka,mita yangu ilipigwa na radi tangu mwezi wannne mwaka huu wilaya husika ikawa inasuasua tu kuja kunifungia mita mpya ,baada ya kuja hapo jamii forum yaan haikupita hata wiki mzee nikaja fungiwaNashukuru kulishughulikia tatizo hili. Limeshughulikiwa jana.
Ndugu mteja.Naomba kuuliza
kuna mita za luku ambazo zilikuwa znatumika zamani kidogo, japo kwa sehemu fulani naona baodo zinatumiwa kwenye umeme wa REA kwa sehemu kubwa kwa sasa zimeingia mita nyingine ambazo zaweza tundikwa juu ya nguzo au zikawekwa sehemu nyingie - kwenye nyumba.
Je kama nataka zile mita za luku za zamani naweza omba nikafungiwa?
JinaNaomba kujua Mwaka Jana huku kijijini uliletwa huu umeme wa REA!
Kukawa kuna shida sana hasa ukitaka kuingia labda wale wachache wenye vyeo flani ndio walifanikiwa!
Sasa je, hivi kuna awamu nyingine zinakuja kwaajili ya kusambaza majumbani au ndio tufuate taratibu za kuunganishiwa huo umeme kama maeneo mengine? ( Yaani kulipia gharama kulingana na idadi ya nguzo?)