Ukishafungiwa mita mpya inachukua muda gani mpaka kuingizwa kwenye ile tarrif D1 kama matumizi yako hayazidi unit 75 kwa mwezi??
Maana kuna wengine wamefungiwa tangu Septemba mpaka leo bado wapo tarrif 1 tu
 
ILE FITNA ILOMUONDOA MRAMBA TANESCO NI UKOSEFU WA UMEME WA UHAKIKA, SASA NI ZAIDI YA MWEZI UMEME UNAKATIKA 12/24 HRS AU ZAIDI/7 DAYS/ 30 DAYS.
WHAT WAS BEHIND MRAMBA VS MTEULE MPYA.


TUMECHOOKA
 
ILE FITNA ILOMUONDOA MRAMBA TANESCO NI UKOSEFU WA UMEME WA UHAKIKA, SASA NI ZAIDI YA MWEZI UMEME UNAKATIKA 12/24 HRS AU ZAIDI/7 DAYS/ 30 DAYS.
WHAT WAS BEHIND MRAMBA VS MTEULE MPYA.


TUMECHOOKA
Unakatika wapi?
 
Siku hizi TANESCO majibu yao ni mepesi mno utasikia ndugu mteja upo kundi sahihi
 
Tanesco rudisheni umeme basi, hivi hili joto la dar mnanilichukuliaje, mnataka leo tukeshe nje.....
 
Mkurugenzi wa Tanesco tunaomba utembelee masasi usikilize adha na shida ya umeme wanapata watu wamasasi uwasaidie.
Kiukweli nimekaa siku mbili na nikafanya uchunguzi nakugunduwa kero ya umeme ktk wilaya ya masasi na vijiji vyake ni zaidi ya dhiki kuu kiasi nimefika mahali kujiuliza ikiwa uongozi upo ama ipo shida nikubwa kiasi kwamba serikali kuu lazima wa support.

Umeme kukatika katika kila baada ya maasaa kadhaa fida imechomoka utakaa masaa mawili au matatu utarudi na. Kukatika tena kwasiku hata mara 15 umeme unakaTika unawaka.

Jambo lapili under voltage jaman Yani watu wanapata shida under voltage some time unacheza as if. Hakuna TF. Zakupooza umeme vizuri majibu yake ni vifaa. Kuharibika na kupata hasara.

Kiukweli Mkurugenzi watu wapo kimya ila hili swala sasa Uwenda watu wakalipuka mbaya zaidi Masasi ndio wilaya anatoka Mzee Mkapa Rais mstaafu jamani ipo wapi heshima na thamani yake ktk wilaya anatoka mbaya tuna tumia umeme wa gas. Inakuwaje?
 
Jamani hii mita ya kujizima na kuiwasha mpaka tanesco wakupe namba ya kufungulia inaniboa sana...hv naweza kubadilishiwa mita nikapewa ya aina nyingine? Bora hata ingekua ikizima unapiga cm emergency wanakupatia namba....sasa utakaa giza weee mpaka wiki inaisha ndo unapewa hyo namba. UTARATIBU WA KUIPATA NI SIKU NGAPI?
 
Tanesco rudisheni umeme basi, hivi hili joto la dar mnanilichukuliaje, mnataka leo tukeshe nje.....
Katika KAMPUNI HOVYO KABISA KULIKO ZOTE TANZANIA NI TANESCO UJINGA UJINGA TUUU... Mnashindwaje kuwaambia Watu kuna katizo la UMEME.
 
TANESCO kuna tatizo hapa Tunduma boda kila jumamosi.Umeme unakatawa kila jumamosi asubuhi hadi usiku, watu au wateja wanakwamwishwa ktk shughuli zao zakimaendeleo na mjue hapa ni boda kazi ni kila siku.Jirekebisheni jamani.Au bado kuna mgao au ni mazoea?jibu.
 
Msaada luku yangu imeandika error,

hakuna umeme unaoingia ndani ya nyumba japo unit zipo kibao

hili tatizo lina wiki sasa huwa nasubiri umeme ukatike,

maana pale unaporudi tatizo hili hupotea na umeme huendelea kuingia kama kawaida sasa leo siku ya pili umeme haujakatika na mim sina umeme ndani.
 
Yangu huwa inaandika drop_n pale umeme unapokua umekatika na kurudi....hapo kupata umeme tena ni mpaka niwafate tanesco wanipe namba na hawakupi namba mpaka eti watu wa emergency waje na wakija kupewa hyo namba ni mpaka siku 3 au 4....hizi mita zao zinanikera sana tofauti na zile luku za zaman zilikua hazina huu usumbufu.
 
Sipendi kutoa lawama kwa jambo hili coz najua miundo mbinu siyo rafiki but naomba nitoe ushauri kidogoo kwenu wakuu. Tupo katika mwezi wa mzua za vuri hvyo tunaomba mjipange vizuri kuweza kukabiliana na hii hali ya hewa maana isijekuwa ikatike asubuh irudi jion
 
asante sana kwa swali zuri sana, lakni tunapenda kukujulisha kuwa kiasi hicho hupelekwa moja kwa moja REA kwa ajili ya maendeleo umeme vijijini.
TAARIFA:


TANESCO katika Mji wa Nyamongo mkoa wa Mara wilaya ya Tarime karibia robo tatu ya mji hauna umeme ni siku ya tatu saivi na hamna taarifa yoyote iliyotolewa kwa wananchi mpaka saivi...!!!!
 
Bigaramulo Ngara Mpanda umeme unakatika kila baada ya masaa 2 unaharibu vitu sana pia siyo uhakika kwa viwanda.
Sub station ipo singida ipeleke umeme mpaka geita kahama mwanza shinyanga inaelemewa kila mkoa uwe na sub stations
 
Ebu nipeni moyo kidogo, nimepimiwa kuna kama mita 150 nguzo 2 ya tatu ntatumia ile ya msongo mkubwa ivi gharama inaweza kuwa kama kiasi gani maana ni kimya sijapata bado mrejesho
 
Kunatetesi nimesikia kua mnampango wakuweka umeme kwanjia ya vocha Kama tunavyonunua ving'amuzi kua hatakama upombali nanyumbani kwako ukiingiza tu umeme unaingia je nikweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…