TANESCO kuna tatizo gani leo Bunju toka jana umeme ni wa shida sana na mpaka sasa tupo gizani
 
Wilayani Rombo awali nikinunua umeme wa sh 9150 nilikua napata unit 77 lakini toka mwaka Jana napata unit 28! Yani umene umepanda Karibu Mara 4!
 
TANESCO TUMECHOKA KUNYANYASWA WAKAZI WA KIRUMBA MWANZA
HUKU KAMA KUNA MGAO NI BORA MNGETUFAHAMISHA,
NA KILA TUKIPIGA SIMU EMERGENCY TANESCO TUNAAMBIWA,,,”oohhhao ni ndege tu wamegusa nyaya,,Mara wanasema OHHH FACE ONE IMEKATA
HIVI MBONA TUKIPUNGUKIWA HATA SHILINGI HAMSINI KWENYE KUNUNUA LUKU HAMTUELEWI,,IWEJE MNATUNYANYASA HIVI KWA KUTUKATIA UMEME MARA MBILI KWA KILA SIKU????
 
Tumepokea taarifa yako mpendwa mteja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumepokea taarifa yako mpendwa mteja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhama tariff huombi ila tu matumizi yako yakizidi 75 units kwa mwezi computer inabadilisha yenyewe . Swali langu ni kwamba hiyo computer imesahau mita yangu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Mbeya siwaelewi kabisa! Kuna nyumba watu wamewekewa nguzo takribani wiki ya tatu sasa wala hawajafungiwa umeme ........inasikitisha sana na ni aibuuuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumepokea taarifa yako mpendwa mteja

Sent using Jamii Forums mobile app

Juzi walidai ni ndege zinakanyaga waya wakakata tangia asubuhi hadi jioni
Jana walidai kuwa kuna mtu amenaswa na umeme wakakata kuanzia saa 11 jioni hadi saa 3 usiku,ili wamnasue huyo mtu
Leo wanadai wanakata miti wametukatia umeme tangia asubuhi saa 1 na hatujui utarud saa ngapi
HILI SWALA NI BORA TULIFIKISHE KWA
WAZIRI WA NISHATI,WAKAZI WA KIRUMBA MWANZA TUMECHOKA KUNYANYASWA NA UTENDAJI WA KATA UMEME TANESCO WILAYA YA ILEMELA MKOA WA MWANZA
 
Tunaifatilia mpendwa mteja
TANESCO MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO Naomba Mnijuze tatizo ni Nini haswa maana Ofisini sijawaelewa Kabisa!
Nimelipia Umeme Kuunganishiwa Mbeya Mjini Tangu September 7, 2018 eneo langu palihitajika Nguzo Moja lakini Mpaka Leo hii Sijaunganishiwa. Ninyi Tanesco HQ Tafadhali Msaada wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…