MAGONJWA HATARI NA RAHISI KUAMHUKIZANA KULIKO HATA UKIMWI!

Mi nimejifunza kuwa Madaktari wa Tanzania hawaongei chochote kuhusu magonjwa kama vile;
1. Herpes simplex virus
2. Human papillomavirus infection (hpv)

Magonjwa haya kwa kiasi kikubwa sana yamewaadhiri Watanzania wengi na hasa watoto kupitia kwa wazazi na wazazi tokea kwa watoto mfano watoto kuambukizana mashuleni kama vile kushirikiana vitu kama kugawiana peremende toka mdomoni nk kisha wakifika nyumbani uwaambukiza watoto wenzao na hata wazazi wao, ndugu, jamaa wanaoishi nao kwa karibu.

Je kwanini msianze program maalum ya kuelimisha watu waziwazi maana hili janga ni kubwa sana na huu ugonjwa ni rahisi mno kusambaa au kuambukizana pengine kuliko magonjwa yote? Mwisho wa siku mgonjwa anaishia na kansa. Ebu fualitieni uone watu wana hali mbaya na sababu ya kutojua wanafikiri wamelogwa!

Watu wanateketea sana sana kwa kukosa maarifa toka kwa wataalamu. Si kila mgonjwa hapa anapata magonjwa haya kupitia ngono!

Dalili;
1. Mafua ya mara kwa mara
2. Kuumwa kichwa
3. Kubadilika rangi ya ngozi
4. Vipele vya ajabu ajabu kifuali, sehemu za siri, mgongoni nk
5. Kuwaka moto sehemu za siri na maumivu makali yasiyoeleweka
6. Kupata vitu kama vidonda ambavyo vipele vidogo vidogo vilivyojikusanya pamoja na baadae ubadilika kama mtu aliungua kwa maji ya moto. Hupona vyenyewe
7. Kutokwa na vidonda vidogo mdomoni kwa ndani ambavyo uuma sana
8. Nywele kulegea na kupoteza ubora wake
9. Kutokwa na uvimbe kwenye kuta za kooni na hutoa vitu kama usaa ukichunguza kwa umakini
10. Kubadilika kwa harufu ya sehemu za siri na hata kunuka sana
11. Kupata UTI mara kwa mara
12. Kubanwa kifua na/ au shingo kwa muda na kuachia yenyewe baada ya muda fulani
13. Kuwashwa mwili hasa macho na usipojua unaweza kununua miwani au kubadili miwani kila siku
14. Tumbo kujaa gas au kushindwa kusaga baadhi ya vyakula kwa haraka mfano wali au chapati au chocolate
15. Miguu na mikono kubadilika ulaini na kuwa ngumu sana utafikiri una miiba mikononi na miguuni

Zipo nyingi sana ukikaa na mgonjwa wako vizuri na kirafiki atakueleza mambo 1,000 kidogo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO KISARAWE MNATUUNGUZIA VIFAA VYETU VYA UMEME, MNAKATA UMEME UKIRUDI HAUNA NGUVU KABISAA, KAMA USIKU WA TAREHE 14 MMEKATA UMEME UMERUDI USIKU HAUNA NGUVU HATA FENI HAIWASHI, KAMA MMESHINDWA KAZI BAKIENI KISARAWE KWENU SIE WA CHANIKA TUHAMISHIWE MKOA WA ILALA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: ADK
Tanesco Ilembula kuna shida gani? Umeme unakatika karibu kila siku na bila maelezo yoyote, hali hii hamuoni km ina athari kubwa kiuchumi? Pia maeneo mengine umeme unapokatwa, taarifa hutolewa mapema, je kwa Ilembula sio jambo la muhimu? Au tusubiri ziara ya rais ndio tuje tutoe malalamiko yetu! Maana ushahidi tunao, tunaomba mchukue hatua tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilembula eneo gani haswa? Wilaya na namba ya simu rafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisarawe eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini pei ya nguzo moja ya umeme ni kubwa kiasi hicho. zaidi ya laki tatu nguzo moja. kwanini!!!
 
kwanini pei ya nguzo moja ya umeme ni kubwa kiasi hicho. zaidi ya laki tatu nguzo moja. kwanini!!!
Ndugu mpendwa mteja Shirika haliuzi nguzo bali kuna gharama unachangia kwa kuwa tunakufungia umeme kwa nguzo na vifaa vingine kama mita nyaya nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMA MPO TUNAOMBA MSAADA WENU PLS

HIO NJIA YA LAMI TANKIBOVU KWENDA RAINBOW

UPANDEWAKULIA KUNA UKUTA WA MATOFALI YA KUCHOMA WA MBOMA

MWISHO WA UKUTA KUNA NJIA INAINGIA KWENDA MTOKAWE WANAITA MCHANGANI

MMWANZONI KABISA MTAONA LORI LIMEVUNJA NYUMBA ZA WATU NA NGUZO ZENU

MSAADA PLS
 
Nawapongeza sana tanesco kwa kuanzisha huu Uzi, mm ninaombi moja ,nipo kwenye matumizi madogo yaani chini ya unit 75 kwa mwezi ni muda mrefu sana niliomba kubadilishwa bili mafanikio yoyote namba ya meter ni 37141720591, nipo mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba namba yako ya fundi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mpendwa mteja Shirika haliuzi nguzo bali kuna gharama unachangia kwa kuwa tunakufungia umeme kwa nguzo na vifaa vingine kama mita nyaya nk

Sent using Jamii Forums mobile app
nyumba yangu iko serengeti. nahitaji nguzo moja tu lakin nambiwa nahitaji kulipia nguzo kwa bei ga zaid ya laki tatu mbali na vifaa vingne. nguzo tu achana na mita
 
Nimejaza fomu ya kufungiwa umeme na nimeshalipia kila kitu sasa hivi ni miezi miwili lakini hadi sasa nikiwafuata tanesco ofisini kwao wananipiga chenga tu,tatizo nini jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, nimelipia umeme baada ya kukamilisha taratibu zote, nyumba ipo ndani ya umbali wa mita 30 (i.e. 19 meter) kutoka kwenye nguzo leo ni siku ya 36 sijafungiwa mita. Kila nikiuliza naambiwa mita hazijaja kutoka Bukoba mara hakuna nyaya. Naomba unisaidie kufuatilia ili nifungiwe umeme kama ulivyoainisha kuwa ni ndani ya siku 30 za kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umelipia kwa jina gani na namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…