Tafadhali soma maelezo yetu vizuri utaelewa kuwa haulipii nguzo bali unalipia kuunganishiwa umeme.nyumba yangu iko serengeti. nahitaji nguzo moja tu lakin nambiwa nahitaji kulipia nguzo kwa bei ga zaid ya laki tatu mbali na vifaa vingne. nguzo tu achana na mita
Samahani, Sina uhakika wa privacy yangu nikitaja majina yangu hapa! Labda naweza kutumia njia nyingine kukutumia!?
Fika ofisi ya eneo lako kwa maelezo zaidiSamahani, Sina uhakika wa privacy yangu nikitaja majina yangu hapa! Labda naweza kutumia njia nyingine kukutumia!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, nitazingatia ushauri wako ila mashaka yangu ni kwamba nimefika zaidi ya mara moja kufuatilia jambo hilo na majibu ni kama hayo niliyoandika hapa!
UKIKOSEA KUNUNUA UMEME KWA NJIA YA SIMU IMEKULA KWAKO
Tanesco wameingia katika Mfumo wa Digital ambao mteja anawesa kununua umeme kwa njia ya MPesa, Tigopesa nk. Katika mfumo huu mteja anapotokea kukosea kununua umeme uwezekano wa kusaidiwa na kurudisha pesa au kupata umeme ni mgumu sana. Juzi mikosea mita namba nikanunua Umeme ila milipogundua mita nambs nimekosea nikapiga huduma kwa wateja wakanishauri niende Ofisi za Tanesco. Nilipofika nikaambiwa niandike barua ikabidi niandike wakaniambia wanamtafuta mmiliki wa hiyo mita niyokosea waongee nse ili anunue huo umeme na akinunua watanirudishia mimi kiasi cha fedha au umeme nikihitaji. Nikaambiwa mirudi baada ya week mbili. Niliporudi nikaambiwa mteja anaonekana kwenye system ila kwenye details zake hakuna namba ya simu so watamtafuta manual nikaongezewa wiki mbili tena. Niporudi nikaambiwa Walikua na kazi nyingi hawakuweza kufuatilia wakaniongeza wiki mbili tena. Juzi tena wiki mbili zimeisha wameniambia bado huyo mteja hawajampata na pia si jukimu lao kufuatilia maana nilikosea mwenyewe so nivumilie tu wanashughulikia. Mimi nimepanga nifuatilie tu hata ikisha miaka 10 hata wajukuu wataendelea kufuatilia. Sasa najiuliza Tanesco wanapokea Barua ngapi za watu kukosea kununua umeme?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mpendwa mteja sio kweli kwamba swala hili haliwezekan au linapaswa kuchukua muda mrefu sana.tunaomba namna yako ya simu, namba ya mita iliyomosewa na namba ya mita sahihi, wilaya yako tulifanyie kaziMkuu na mie kitu hicho kilinipata ila mita niliyoiingizia umeme ilikuwa ni ya jirani, pamoja na hayo mlolongo wake ilichukua kama miezi miwili ndipo nikarudishiwa umeme wangu tena kwa kuongeza pesa kidogo na kukomaa sana
Eneo gani na namba yako ya simu tafadhaliTanesco Mbeya siwaelewi kabisa! Kuna nyumba watu wamewekewa nguzo takribani wiki ya tatu sasa wala hawajafungiwa umeme ........inasikitisha sana na ni aibuuuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo ujaze fomu tufike kufanya vipimo na kukupatia gharama kama utakidhi vigezo na mashartiNahitaji kuhamisha mita kutoka nyumba ya zaman kwenda mpya niliyojenga pembeni ya, je kuna gharama yoyote?
Mara baada ya kupimwa na kuonekana kama umezidi au haujazidi wastani stahiki ndio tutajua kama unabaki au laaJamani mie nilikuwa tarriff 1 nimeungwanishwa hata mwezi mmoja bado,Sasa juzi nikiwa sipo nyumbani Cirket beaker ilitrip,sasa dogo nyumbani akajua labda umeme umeisha,akachukua elfu tano na kwenda kununua umeme wa shilingi 4800 na akapata unit 18,akaenda kuweka baada ya kuingiza unit unit zikawa jumla ya unit 82,Sasa swali langu ni je tarriff yangu One itabaki pale pale ama nitaamishwa tarriff,Naombeni msaada wenu
Tunaomba namba yako ya simu tafadhaliHivi tanesco na kigamboni Soweto kuna lolote wananchi wa huku wamewakosea??..au wanafunzi wa mafunzo kwa vitendo na eneo mnalowafundishia kuwasha na kuzima...kila siku mnakata Umeme si chini ya mara tatu paka nne...mida hii umeme wamekata tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawaelewa hapo naomba mnieleweshe vizuri,mtakuja kupima niniMara baada ya kupimwa na kuonekana kama umezidi au haujazidi wastani stahiki ndio tutajua kama unabaki au laa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachotakiwa kwa sasa kwa mwezi unaofuata punguza matumizi yako na usinunue umeme wa unit 75. Nunua pungufu ya unit 20 ili kufidia unit 18 ambazo umezidisha mwezi huu.Sijawaelewa hapo naomba mnieleweshe vizuri,mtakuja kupima nini
Ok sawa nimekupata,ila wasiwasi wangu ni je system itakuwa haijaniamisha tarriffUnachotakiwa kwa sasa kwa mwezi unaofuata punguza matumizi yako na usinunue umeme wa unit 75. Nunua pungufu ya unit 20 ili kufidia unit 18 ambazo umezidisha mwezi huu.
niwatumie kwa Pm ama hapahapa hewaniHaihamishi kwa mara moja. Tupatie mita namba yako tuangalie na tutakupa jibu hapa