Tanesco Mbeya mbona siwaelewi?nmejaza fomu na kukamilisha hatua zote ili nilipie mnifungie umeme lakin leo nafukuzià wiki ya NNE sioni hata meseji ya kwenda kulipia,au hii huduma haipo Kwa sasa?
 
Kijiji cha Lwamgasa wilaya ya Geita mkoani Geita
Kuna upungufu WA nguzo
Nguzo zimepita barabarani na baadhi ya maeneo
Lakini sehemu kubwa Hakuna Umeme

Pia huu mpango WA Rea mbona huku Hakuna?

Naomba mlifanyie kazi
Tunahitaji umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujuzwa, ili tanesco mpeleke umeme eneo fulani Kama mradi, inatakiwa pawe na Wakazi (Wahitaji) nyumba ngapi zinazohitaji umeme,, na mchakato unakuwaje.. Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nahitaji kujua gharama za nguzo 3 mpaka kufika katika site yangu,pia nikiripoti shida ya kubadilishiwa mita ndani ya muda ya muda gani natakiwa kutatuliwa
 
nahitaji kujua gharama za nguzo 3 mpaka kufika katika site yangu,pia nikiripoti shida ya kubadilishiwa mita ndani ya muda ya muda gani natakiwa kutatuliwa
Chukua fomu tukufanyie vipimo kisha tukupatia quotation/gharama ya makadirio halisi kwa kiwa nguzo ni moja wapo ya kifaa cha kayi ya seti kamili ya vifaa

Kuhusu mita tunaomba simu,namba ya mita namba ya taarifa wilaya na eneo lako tuifanyie kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujuzwa, ili tanesco mpeleke umeme eneo fulani Kama mradi, inatakiwa pawe na Wakazi (Wahitaji) nyumba ngapi zinazohitaji umeme,, na mchakato unakuwaje.. Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo letu ni kupeleka umeme kwa wateja wetu na tunalifanya hivyo kwa awamu hivyp popote palipo na wateja wajue ipo awamu yao itawafikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Mbeya mbona siwaelewi?nmejaza fomu na kukamilisha hatua zote ili nilipie mnifungie umeme lakin leo nafukuzià wiki ya NNE sioni hata meseji ya kwenda kulipia,au hii huduma haipo Kwa sasa?
Utapatiwa huduma kwa kuwa wapo waliokutangulia ndio tunawamalizia kisha tutakufungia na wewe mpendwa mteja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nambo kuuliza tu.
Inakuaje mtu aliomba umeme na akapelekewa takribani nguzo 11, lakini ulipelekwa waya wa single phase na ukiangalia hapo kati kuna nyumba nyingi sana ambazo na wao wataunganisha kwenye hivo nguzo za single phase ambao utapelekea umeme kuja kukosa nguvu ktk majumba.
Nauliza ni kwa nini msipeleke three phase ili kuondoa usumbusu na gharama za hapo baadae ?

Habari TANESCO

Nina malimbikizo ya metre zile za zamani (analog) sasa natumia luku na deni langu limehamishiwa kwenye account hii.

Kuna njia yoyote rahisi bila kufika kwenu ambayo inaweza nisaidia kujua kiasi nilicholipa hadi sasa katika deni langu?
 
Tunaomba namba yako ya mita ya LUKU tukuambie kiasi chako mpemdwa mteja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu wetu kabla ya kumfungua mteja mpya huwa wanafanya load analysis hivyo hupaswi kuwa nanhifu kwa kuwa tunafanya kazi kitaalamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongeren kwanza kwa hili, napenda kuuliza juu ya manunuzi ya mita na kuhama nazo, mimi bado nimepanga ila tatizo a umeme kwenye nyumba niishiyo ni changamoto kubwa sana, natamani kuweka mita yaangu mana nategemea kumaliza ujenzi wa nymba yangu, je, nikihama naweza hama nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…