Habari za kazi, nimeunganishiwa umeme mwezi wa 11 ila nikapewa unit 10 tu badala ya 50, nikaambiwa siku nikinunua nitapewa.
Nimenunua umeme wa 20,000 cha kushangaza nimepata unit 5 tu. Hata sielewi inakuwaje hela yote hiyo kupata unit ndogo kiasi hicho

na je hizo unit 40 zilizobaki nazipataje???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je uliwasiliana na ofisi ye eneo lako? Namba ya mita namba ya simu wilaya tafadhali

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
*TANESCO HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA MTANDAO WA WHATSAPP*

*KWA WATEJA WA MKOA WA KIGOMA NA WILAYA ZAKE*

*Jiunge na TANESCO huduma kwa wateja kupitia Mtandao wa WhatsApp kwa kugonga link ya eneo lako hapo chini*[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
...............................................
[emoji3041] *KIGOMA MJINI*

TANESCO HUDUMA KIGOMA

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0783 720 598/0 28 280 2668
...............................................
[emoji3041] *WILAYA YA KASULU*
TANESCO HUDUMA KASULU

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0767 893 642
...............................................
[emoji3041] *WILAYA YA KIBONDO*

TANESCO HUDUMA KIBONDO

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0744 990 971
...............................................
[emoji3041] *WILAYA YA UVINZA*

WhatsApp Group Invite

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0628928717
...............................................
[emoji3041] *WILAYA YA KAKONKO*
TANESCO HUDUMA KAKONKO

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0657835177.
...............................................
[emoji3041] * WILAYA YA BUHIGWE*

TANESCO HUDUMA BUHIGWE

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0744 555 599
...............................................
Mpatie ndugu, Jamaa na rafiki ili kuwa karibu zaidi na TANESCO yetu Mtandaoni.

*Facebook*
www.facebook.com/tanescoyetu

*Twitter*
www.twitter.com/tanescoyetu

*Tovuti*
www.tanesco.co.tz

*Barua pepe*
Customer.service@tanesco.co.tz

*TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO*

[emoji3041] *WILAYA YA BUHIGWE*

Salaam Tanesco, nimeleta bandiko mbali mbali juu ya kupatiwa umeme wa REA kwenye kitongoji cha Kijuka kijiji Mabuye Wilaya ya Missenyi Mkoa Kagera, nimehaidiwa kuwa suala hili linashughulikiwa, niliwaeleza kuwa mkadarasi anayeshughulikia kijiji cha Mabuye aliruka Kitongoji cha KIJKUA kwa kudai kuwa hajapatiwa Ramani ya Kitongoji hicho cha KIJUKA nikawaeleza kila kitu mkaniambia kuwa mnashughulikia suala hilo na punde mtanipa mrejesho lakini mwaka umepinduka na sasa tuko 2019 sijapata majibu. Nauliza tena, kulikoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco mna shida gani haya maeneo ya ubungo-riverside-kibangu?? Maana kila mara umeme unakatika katika sana, tena karibia kila siku ya siku za kazi! Jamani mnatutesa sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hivi kama mkoa jirani una umeme na mmi nipo mkoa mwingine upande kwetu hauna umeme MTO umetenganisha mkoa na mkoa mnaweza mka tuvushia umeme kutoka mkoa mmoja kuja mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa mnatabia ya Kukata kata umeme Kipindi cha Mvua, Yaani hata mawingu yakitokea Umeme mnauchukua
Nilikuwa naomba Kama marekebisho mfanye Mda Huu, sio mnafanya Kazi kama watu wasio na Taaruma au wenye Taaluma Feki...
Mm mkazi wa gongo la mboto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeomba kuunganishiwa umeme nimeenda kulipia katika benki moja wapo (NMB,CRDB,NBC) siku ya Leo nimepewa pay in slip ila SMS aijaingia kwenye simu yangu ambayo nilielekezwa kama moja ya kitu muhimu cha kuthibitisha malipo. Je nitahakiki aje kama pesa hiyo imefika sehemu sahihi?
 
*TANESCO HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA MTANDAO WA WHATSAPP*

*KWA WATEJA WA MKOA WA SHINYANGA NA WILAYA ZAKE*

*Jiunge na TANESCO huduma kwa wateja kupitia Mtandao wa WhatsApp kwa kugonga link ya eneo lako hapo chini*[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
...............................................
[emoji3041] *SHINYANGA MJINI*
TANESCO HUDUMA- SHINYANGA

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0719059 880/0783 521 070/0754 521 070
...............................................
[emoji3041] *WILAYA YA KAHAMA*
TANESCO HUDUMA - KAHAMA

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0765 922 366/ 0719 059 881/0789 694 894
...............................................
[emoji3041] *WILAYA YA KISHAPU*
TANESCO HUDUMA-KISHAPU

[emoji338] *HUDUMA KWA WATEJA* 0766 711 620/0622 484 364
...............................................

Mpatie ndugu, Jamaa na rafiki ili kuwa karibu zaidi na TANESCO yetu Mtandaoni.

*Facebook*
www.facebook.com/tanescoyetu

*Twitter*
www.twitter.com/tanescoyetu

*Tovuti*
www.tanesco.co.tz

*Barua pepe*
Customer.service@tanesco.co.tz

*TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…