Imekuwa ni kero tena kero kubwa isiyopimika ... Umeme unakatwa au kukatika mfululizo maeneo ubungo maeneo ya best point hotel kwadotnata ... Ni shida ... Ikp haja ya MTU kutumbuliwa kama walivyotumbuliwa mameneja mbali mbali
 
Tanesco mwanza nguzo zinafika lini jamani tupo gizani na pesa tulishalipa kitambo?
 


Kuna Shida Gani Leo ni siku ya tatu TANESCO mnakata Umeme karibia Dar nzima l??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…