Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,065
- 5,976
Asante kiongozi. Hiyo namba ya simu uliyoweka ni 24 hours ili tukupigie?NDUGU WAPENDWA WATEJA WETU MNAOTOA TAARIFA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII TUNAWAOMBA MZINGATIE YAFUATAYO ILI KURAHISISHA UFAFANUZI NA UFUMBUZI WA TATIZO AU TAARIFA HUSIKA
1.ENEO HUSIKA
(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
2.NAMBA YA SIMU
(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)
3.KARIBU NA NINI
(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)
4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO
(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)
5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI
(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)
6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME
(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)
7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI
(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)
TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.
ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu
IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makauu
Mkuu hujanijibu, unajibu ki-PR, hizo namba za simu zinajibiwa 24 hrs? Halafu nakuomba utuwekee namba za emergency kwa wilaya za mkoa wa Dar, mimi nahitaji namba za Wilaya ya Kigamboni.Ukitoa taarifa ka mfumo uliotajwa hapo juu hata hapa jamii forum wataalamu wetu watifikish mkoa husik
Tunashukuru , naomba kuuliza hizo no zinapatikana wakati gani. Kwani hiyo no ya Voda nilishawahi kupiga zaidi ya mara kumi bila kupokelewa na nilikua na tatizo
Namba (06),,,,,me mmenifungia mita ambayo nashindwa hata kusoma kiasi cha Unit kilichobakia, ,huwa kila sekunde inakuja minamba namba tofauti, ,,msaada
mkuu Shirika siku zote linapenda kusikia wateja wake wanafurahia huduma zetu. hivyo basi sio ukiona TANESCO wamekata umeme sehemu jua tu kuna tatizo au ni dharura.Mbagala mnakata sana umeme
Nahitaji umeme nyumbani kwangu lakin tanesco tanga wamekua na bla bla nyingi. Mtanksaidiaje nipo tanga mjini
kuunganisha mteja bila nguzo shilingi ngapi? ikiwa na nguZo shilingi ngapi?mkuu tutaomba kujua kama umeshachukua fomu na kulipia. je umelipia gharama ya nguzo au bila nguzo bila kusaau ni tarehe ngapi kama ulilipia. tutafurah kama tutapata mawasiliano yako pia.
usiku mwema
mkuu tutaomba kujua kama umeshachukua fomu na kulipia. je umelipia gharama ya nguzo au bila nguzo bila kusaau ni tarehe ngapi kama ulilipia. tutafurah kama tutapata mawasiliano yako pia.
usiku mwema
Kuna miradi mikubwa inayofanyika ya uboreshaji Huduma ya umeme Jijini Dar es Salaam, Vituo vya kupoza na kusambaza umeme vya Mbagala na Kurasini vinapata umeme wa msongo wa kilovolti 33, kutokana na ongezeko la Watu na shughuli za Kiuchumi maeneo ya Mbagala, Kigamboni na Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, kumepelekea upatikanaji wa umeme kwenye maeneo hayo kuwa na matatizo kidogo kwani vituo vinavyosambaza umeme kwenye maeneo hayo kuzidiwaMbagala mnakata sana umeme
Naomba kama mtaongeza pia no nyingine kwa ufanisi zaidi ili moja ikiwa kwenye matumizi nyingine iwe inasaidia.
Mbona hunijibu kuhusu hilimkuu tutaomba kujua kama umeshachukua fomu na kulipia. je umelipia gharama ya nguzo au bila nguzo bila kusaau ni tarehe ngapi kama ulilipia. tutafurah kama tutapata mawasiliano yako pia.
usiku mwema