kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Jana (10 June, 2019) tulinunua umeme wa luku (mita namba 43002630549) na kupewa units 16-kwa TZS 5900-badala ya 48 units za mwanzo kwa kuwa umepita mwezi na siku kadhaaa tangu tununue wa hapo awali. Sijajua tatizo ni nini?Tunashukuru sana mpendqa mteja,endelea kufurahia huduma zetu
Jana (10 June, 2019) tulinunua umeme wa luku (mita namba 43002630549) na kupewa units 16-kwa TZS 5900-badala ya 48 units za mwanzo kwa kuwa umepita mwezi na siku kadhaaa tangu tununue wa hapo awali. Sijajua tatizo ni nini?
Lakini pia, kila tukijaribu kuingiza token za unit 16 tulizopewa kwenye mita hiyo, inagoma kujibu na badala yake inaendelea kuandika unit 0.0
Je, sababu ni nini?
5397 8789 8197 1556 4421Jana (10 June, 2019) tulinunua umeme wa luku (mita namba 43002630549) na kupewa units 16-kwa TZS 5900-badala ya 48 units za mwanzo kwa kuwa umepita mwezi na siku kadhaaa tangu tununue wa hapo awali. Sijajua tatizo ni nini?
Lakini pia, kila tukijaribu kuingiza token za unit 16 tulizopewa kwenye mita hiyo, inagoma kujibu na badala yake inaendelea kuandika unit 0.0
Je, sababu ni nini?
Yap! token ndiyo hizo, ila tuliwasiliana kwa kutumia namba yenu ya huduma kwa mteja na walirekebisha activation number ya mita ambayo ilionekana imekosewa. Tumefanikiwa kuingiza token hizo na mita sasa inasoma 16.6 units.5397 8789 8197 1556 4421
Mtakuwa mmeshanunua zaidi ya unit 75 kwa mweziYap! token ndiyo hizo, ila tuliwasiliana kwa kutumia namba yenu ya huduma kwa mteja na walirekebisha activation number ya mita ambayo ilionekana imekosewa. Tumefanikiwa kuingiza token hizo na mita sasa inasoma 16 units.
Sasa swali linabaki kwa nini tumepewa units 16.6 badala ya 48 kwa TZS 5900 kama ambazo tulikuwa tukipewa?
Mtakuwa mmeshanunua zaidi ya unit 75 kwa mwezi
Umeme hapa moshi unakatika katika sanaTANESCO mjitathimini uendeshaji wenu wa shirika kwani ni miaka na miaka sasa imepita tatizo la kukatika umeme imekuwa kero utadhani ndo SERA YA TAIFA.
Ifike wakati tuache mazoea,umeme ndo kila kitu katika ukuaji wa uchumi wa nchi nyingi dunia kwan big investment zinategemea sana umeme lakini pia hata watu wa kawaida wanategemea umeme kuingiza kipato na kipato kinavyoingia kwa mtu mmoja mmoja ndio uchumi unakuwa lakini pia stability ya umeme inavutia wawekezaji.
Naomba niwakumbushe Rais wetu alisema hii ni Tz ya viwanda je na nyinyi mnalijua hili?? Ukizungumzia kiwanda unazungumzia na umeme.
Kwa kuhitimisha tuache mazoea kazini,tuwe wabunifu and tutumie elimu zetu kwa ndugu zetu wa Tz kwa mustakabali wa taifa hili linaloendelea.
Kumwita surveyor aje kwako Ni gharama kiasi gani?Mtakuwa mmeshanunua zaidi ya unit 75 kwa mwezi
Nakumbuka nilijaza fomu ya kupatiwa huduma ya umeme mwezi wa pili wilaya ya bagamoyo nikaambiwa atakuja surveyor mpaka leo hajaja na namba yangu ya simu niliiacha kwenye fomu.Hakuna gharama yeyeote mpendwa mteja wetu
Natuma PM now naomba msaadaJina lako na namba yako ya simu tafadhali