Wananchi ya maeneo hayo ya Mradi tunategema mwishoni mwa mwezi huu nane Mradi huu wa Peri Urban utaanza na kujibu kero za kukosa umeme kwa haraka zaidi.Huku Chanika mtaa wa Zogo Ali mlileta nguzo kipindi cha uchaguzi wa marudio (baada mwita kuhama chama) baada ya uchaguzi na Mh Mwita kushinda mkaja mkabeba nguzo zenu,
Mlitujazisha fomu, kimia mpaka leo
Naomba kuwauliza
Mtaa wa zogoali tupo kwenye Rea namba ngapi maana hapa ni mjini kabisa
. Inaonekan mlileta nguzo kisiasa tu ili mgombea apate kura maana hata diwani naye kura alipata na bado tupo naye kigazani
Nilini mtaleta umeme kama hamna bajeti je mpo tayari kwa wale wananchi wenye uwezo kuwasambazia umeme kwa bei nafuu???
Tutakupatia mrejesho wa swala hili mpendwa mteja wetu
Wananchi ya maeneo hayo ya Mradi tunategema mwishoni mwa mwezi huu nane Mradi huu wa Peri Urban utaanza na kujibu kero za kukosa umeme kwa haraka zaidi.
Nipo Kijiji cha Pandambili wilaya ya Kongwa kumbe njia tatu ni shs. 27000 tu kwa rea?Gharama za kufungiwa umeme zimebainishwa hapo chiniView attachment 1155075
Mimi nikinununua umeme wa 5000 napata unit 13.9 wakati awali nilikuwa napata unit 14 na pointInaelekea wamebadili ule utaratibu wa WATUMIAJI UMEME WADOGO. Nami nilikuwa nanunua hivyo hivyo, na matumizi yangu kwa mwezi, ni unit 50. Bila taarifa, naona nashindwa kununua kwa mpesa. Napewa namba nipige ili nipewe namba za kubadirishia mfumo wa kununulia.
Kama wameamua kufuta ule utaratibu, kwa nini kimya kimya?
0689945486Namba yako ya simu tafadhali
Kimya0689945486
Jina
Wilaya
Namba ya simu tafadhali