UNGEINGIA KWENZMYE UZI WA TANESCO WANGEKUSAIDIA ILA NIMESAHAU SIJUI UKO JUKWAA GANI
 
UNGEINGIA KWENZMYE UZI WA TANESCO WANGEKUSAIDIA ILA NIMESAHAU SIJUI UKO JUKWAA GANI
 
Habari za sahizi wakuu, nina tatizo la luku naingiza token results inaleta Error 75, ni siku pili sasa bila majibu tanesco hawajanibu mpaka sasa.
Mita namba ngapi?

Wilaya

Eneo

Namba yako ya simu tafadhali
 
Kazi hii imekamilika mpendwa mteja wetu
 
Namba yako ya simu na huduma unayoiomba tafadhali
 
Huduma imerejea mpendwa mteja wetu
 
Kwanin usimjibu hapa, unazidi kumpotezea muda mteja wako.
Kila error inategemea na aina ya mita mteja anayotumia ili tujue hatua za kuchukua ni lazima tujue namba ya mita husika
 
Mrejesho: Nawashukuru sana Tanesco nimepata huduma ya kufungiwa nyaya na Mita mnamo tarehe 02.08.2019. Nawapongeza kwa kufanyia kazi kero za wananchi kupitia Jambo Forum.
Thanks
 
Mrejesho: Nawashukuru sana Tanesco nimepata huduma ya kufungiwa nyaya na Mita mnamo tarehe 02.08.2019. Nawapongeza kwa kufanyia kazi kero za wananchi kupitia Jambo Forum.
Thanks
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
 
Nimetuma namba lkn bado hamjanipigia
Kijiji cha Mungushi kilipatiwa umeme kupitia Mradi wa TANESCO unaofadhiliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) yaani REA phase 2 mnamo mwaka 2016, ambapo vitongoji vya Masinonda, Mwangaza na Mungushi kati vilifikishiwa umeme na kubaki kitongoji kimoja cha Nkwamakuu.
Tunatarajia kupitia mradi ujao wa kuongeza Utoshelevu wa usambazaji umeme (Densification) kitongoji cha Nkwamakuu kitaweza kufikishiwa huduma ya Umeme.
Hivyo tunaomba Mteja wetu tarajiwa asiwe na hofu kwa sababu kitongoji chake kipo kwenye mpango ujao wa kukamilisha kuvifikia vitongoji vyote 45 vilivyobaki kwa Wilaya ya Hai. Asante.
 
TANESCO, sijajua kama mmetoa ufafanuzi kwa hali ya upatikanaji wa umeme haswa wilaya ya kilombero. Miji ya ifakara ni siku ya tatu sasa hatuna umeme.

Nini shida?
 
Asante sana kwa majibu mazuri.

Nimepata response nzuri kutoka TANESCO makao makuu na pia ofisi ya TANESCO Wilaya ya Hai.

Tunafurahi mnavyokuwa karibu na wateja.
 
Siku hata mimi nikipata jibu kama hili nitafurahi sana Tanesco chondechonde nazidi kuvumilia kama mlivyo nihaidi kuwa suala la Kitongoji cha KIJUKA kijiji Mabuye wilaya ya Missenyi linashughuliwa. Nawaomba saaaaana jamani mzidi kukumbuka juu ya hili ili nasisi tuweze walau kuifaidi umeme.
 
Mnachagua watu wa kuwasaidia namba nimetuma ila naona kimya
 
Ndugu mpendwa mteja wetu taarifa za wilaya ya Misenyi tumelijibu na kulitolea ufafanuzi mara kadhaa tunaomba uvumilivu wako
 
Write your reply...Tanesco mnafeli wapi?Mwanza-Ilemela kata ya Nyamhongoro kuna mtaa hauna Umeme hata Nguzo hakuna na kuna watu wengi,REA waligoma kupeleka umeme kuwa siyo kijijini,Nyie hata kujishughulisha hakuna,watu wameshafuatilia hadi wamechoka,ahadi zimekuwa haziishi.....!!!Tokeni maofisini fanyeni kazi,hawa wananchi hamuwawekei umeme bure,wanawalipa,kwanini msifanye kazi yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…