Mteja wa kwanza amelipia tarehe 31 Mei 2019 na wapili amelipia mwezi uliopita hivyo wapo kwenyo orodha ya kufungiwa umeme.Tunaomba uvumilivu wao
Hata hivyo mara baada ya kuwapigia wateja hawa mmoja amekiri kutokuwa na malalamiko kwa kuwa alipatiwa taarifa kamili na ofisi yetu.
 
a

 
Ofisi za mlandizi ni tatizo sana.
Nimeomba umeme kwa miezi sasa hata Survey tu hajafika na tupo wengi sana mtaani kwangu.

0718505991
 
Ofisi za mlandizi ni tatizo sana.
Nimeomba umeme kwa miezi sasa hata Survey tu hajafika na tupo wengi sana mtaani kwangu.

0718505991


tumepokea kwa hatua zaidi
 
Ofisini wanasema surveyor yupo mmoja na wateja ni wengi.
Hii ni biashara kama wateja wapo wengi mnatakiwa kuajiri kwasababu hizi kazi tunalipia sio bure.
Igeni kwa wenzenu Dawasco.
tumepokea kwa hatua zaidi
 
Mbona bulb zangu na na za nyumba ya jirani mtaa wa pili ambazo ni tubelight zinatoa mwanga hafifu kabisa kama vile hazijawashwa TANESCO ?
 
Meter za 3 phase ni tatizo huku Ikwiriri yapata mwezi sasa tangu mita yetu ilivyoharibika na kila nikiwauliza Tanesco Ikwiriri wanasema kwa sasa hawana meter

Sasa kama wao wanakosa mita sisi tufanyaje
Basi wa bypass umeme ili tuumie kwa pamoja na sio niumie mimi peke yangu
 
Tunaomba jina? Namba ya simu na namba ya mita tafadhali
 
Nyumbani Kijiji cha Kilomeni Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro mita iliharibika miezi 3 iliyopita.
Tuliwajulisha Tanesco Wilaya ya mwanga wakasema watabadilisha ila hadi leo ni miezi 2 Hawajabadilisha.
Jina. VERONICA VENANCE
MITA NO. 04202924306.

PHONE. 0768148577.
TUNAOMBA MREJESHO UKISHAFUATILIA TAFADHALI.
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendqa mteja wetu
 
Naomba kuwauliza,inachukua muda gani kuunganishiwa umeme baada ya kulipia? Mimi naishi Tegeta nina wiki ya pili bado sijaunganishiwa.
 
Ndugu Zanguni Tanesco,
Mbona inachukua muda mrefu sana kuunganisha umeme,Tumeomba umeme mnamo tarhe 16/06/2019 na tuliahahidiwa siku 60 mpaka kuja kupata umeme.Leo ni zaidi ya siku sitini hakuna lolote linaloendelea.Ref no ni : 9910311252200 na no ya simu ni 0713549959.
 
Uliomba wilaya gani mpendwa mteja wetu
 
Waziri wa nishati Dr medard alitangaza kuwa wateja wanaohitaji umeme watapatiwa nguzo bila kununua.he kauli hii ni mikoa mingapi imeanza kuifanyia kazi kauli ya Mh Waziri? Je na nguzo na transfoma ni bure je mteja wa tanesco anayehitaji umeme anatakiwa alipishwe Gharama zipi zingine na ni kiasi gani cha fedha?
 
Nashukuru sana Tanesco ujumbe huu niliuleta hapa jana, Leo Tanesco wamefika site wanabadilisha Mita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…