Unauliza sehemu gani tena wakati ameorodhesha vijiji hapo juu? Mhh Watanzania.Mtwara sehemu gani na namba yako ya simu tafadhali mpendwa mteja wetu
Nipo kahama, Tanesco wamepitisha waya juu ya paa la nyumba yangu, kuelekea kwa jirani yangu, na bado wiring kuelekea kwenye nyumba ya huyo jirani yangu imepitia kwenye ukuta wangu. yaaani ni hatari hatari, tumeandika barua ya malalamiko kwenda Tanesco wilaya kahama kipindi cha mwezi na nusu sasa ni kimya. number ya simu nakupm.Upo eneo gani, namba ya simu na tatizo tafadhali
Tumepokea taarifa kwa ufatiaji zaidiNipo kahama, Tanesco wamepitisha waya juu ya paa la nyumba yangu, kuelekea kwa jirani yangu, na bado wiring kuelekea kwenye nyumba ya huyo jirani yangu imepitia kwenye ukuta wangu. yaaani ni hatari hatari, tumeandika barua ya malalamiko kwenda Tanesco wilaya kahama kipindi cha mwezi na nusu sasa ni kimya. number ya simu nakupm.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiNimeomba huduma tangu Januari 2019 na contractor alifanya kazi ya mchoro wa nyumba...kugonga mhuri na fomu ikarejea Tanesco. Mbona hawaniiti kunipa makadirio ili nilipie na hatimaye nifungiwe umeme?
Wilaya: Iramba
Kata:Kinampanda
Eneo/ kitongoji: Kitusha-Kanisani
0768407939
Habari! Nimelipia kupata huduma ya umeme bagamoyo mpk sasa hawajaja kunifungia msaada wenuTumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Je ukipatiwa maagizo gani na ofisi ya eneo lako? Jina?simu?wilaya yako tafadhaliNaombeni msaada.
Nilikwenda TANESCO kuomba kuunganishiwa huduma ya umeme.
Surveyor alikuja kuchukua vipimo na mchoro. Kisha nilikwenda kuchukua gharama na nikalipa kabisa.
Kwa bahati mbaya surveyor badala ya kuandikia nguzo mbili, aliandikia nguzo moja na ndiyo iliyolipiwa na imeletwa tayari. Kwa hiyo basi, sijaunganishiwa umeme kutokana na kukosekana kwa nguzo moja.
Je, nitafanyaje ili kupata huduma hii ya umeme?
Swala hili tumekupatia majibu mara kadha tunaomba uvumilivu wakoTanesco mlinitaka niwe mvumilivu kuhusu kupatiwa umeme wa REA kwenye kitongoji cha KIJUKA kata Kassambya Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera niliwaeleza kila kitu. Lakini nazidi kusubiri hadi naishiwa pumzi nahisi nimesha sahaulika. Tafadhali sana naomba kuona ama kusikia tena kutoka kwenu juu ya kitongoji hiki cha KIJUKA kilichobakizwa katikati kama kisiwa bila umeme.
Mita nambaNimenunua umeme vizuri kwa njia ya simu lakini tatizo nikiingiza token kwenye CIU kinagoma huwa kama kinasachi tu na umeme hauingii na mara kwa mara kanaandika namba 30
Tatizo laweza kuwa ninI?
Mita namba
Wilaya
Eneo
Simu
Kinachokea ukiingiza umeme
Jina HAMISI MKOJERAJina
Eneo
Simu
Tarehe uliyolipa
Wilaya