Tanesco naomba msaada aisee Nimelipia kuunganishiwa umeme kwa nguzo mbili ila sasa ni mwezi wa tano sasa naona kimya
Jina

Wilaya

Simu

Tarehe uliyolipa tafadhali
 
Tulitoa taarifa za zoezi la kubadili mita zilizokwisha muda wake hivyo kama ni mafundi wetu walifika basi ni muendele?o wa zoezi hilo

Asante kwa ufafanuzi. Mita yangu ilipobadilishwa ilikuwa na units 39 za umeme. Je nitarejeshewa? Lini?
 
Tunaomba namba yako ya simu kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
Sasa jamani tanesco vipi mbona kimya mafundi wamekuja juzi wameangalia wamesema wanatoa taarifa kitengo Cha mita baadaa ya hapo kimyaaa hata kuambiwa lini nitawasha taa dah naomba msaada basi hiyo mita nibadilishiwe mapema maana nakata wiki Sasa sina umemee

Mita 43002355196
Songea mjini
Kata msamala
Karibu mtendaji mtaa ostabay
Natanguuliza shukrani
 
TANESCO sisi tunahitaji huduma kuunganishiwa ila tumeletewa taarifa maombi yetu hayatapitishwa kutokana na agizo la waziri wanainchi wasilipishwe nguzo, na pia tusubiri bei mpya itayoletwa.
 
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji mpendwa mteja wetu
 
Asanteni kwa huduma tayari nimefungiwa meter mpya kwa hiyo wazungu nawaangali shukrani Sana
Mpo vizuri aisee
Karibu sana mpendwa mteja wetu

Endelea kufurahia huduma zetu

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU
 
Nauliza huku Wilaya ya Rorya kuna shida gani. Tunaomba umeme hatupati huduma. Tumajaza form tangu mwezi wa tatu adi leo. Hakuna cha survey wala nini.

Ukiuliza unaambiwa tunajianda mara huduma imesitishwa watumishi wengine wanatoa lugha chafu.

Na waziri wa nishati alitangaza nguzo bure lakini huduma hamna. Mnataka nini ninyi tanesco wa wilaya Rorya?
 
Karibu sana mpendwa mteja wetu

Endelea kufurahia huduma zetu

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU
Kiongozi habari, nipo mkoa wa njombe mji Makambako, nimejenga umbali wa takribani 1km kutoka Umeme wa REA ulipo ishia.

Naomba kufahamu natakiwa kupitia mchakato gani ili kuweza kupata Umeme huko!

Eneo hili ni kwa ajili ya kuishi na kufanya ufugaji

Nitashukuru kama nitajibiwa
 
Je umeomba umeme kwa jina gani? Eneo? Namba yako ya simu tafadhali
Tuomba Tangazo la kutujulisha kama mnazima umeme ..na sio mnaamua kututuzimia tu leo mbagala kipat mlizima umeme siku nzima bila taarifa yeyote ile..
 
Tafadhali fika ofisini kwetu kwa maelezo zaidi
 
Tuomba Tangazo la kutujulisha kama mnazima umeme ..na sio mnaamua kututuzimia tu leo mbagala kipat mlizima umeme siku nzima bila taarifa yeyote ile..
Taarifa zilitolewa mpendwa mteja wetu.Tunaomba namba yako yenye WhatsApp
 
Je umeomba kwa jina gani? Namba ya simu? Tafadhali
 
Karibu sana mpendwa mteja wetu

Endelea kufurahia huduma zetu

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU
Nimeriport nguzo imeoza na ina line nne za umeme nina zaidi ya wiki 3 wamekuja kuangalia na wamebaini niyakutoa sijui wamelwama wapi nyaya zipo juu ya bati sina amani kabisa.kituo ni cha tazara naishi kiwalan fatilia ref no3128 hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…