Tunaomba namba yako ya simu tafadhaliNimeriport nguzo imeoza na ina line nne za umeme nina zaidi ya wiki 3 wamekuja kuangalia na wamebaini niyakutoa sijui wamelwama wapi nyaya zipo juu ya bati sina amani kabisa.kituo ni cha tazara naishi kiwalan fatilia ref no3128 hiyo
NnTunashukuru kwa taarifa
Tunaomba taarifa kamili za umelipia lini? Namba ya simu na jina ulilolipia
Hawa jamaa bwana, Nashauri serikali wanted outsource kukawa na makampuni Mengine ya uzalishaji na Uuzaji wa umeme Kama walivyofanya kutoka TTCL kukawepo na Makampuni mengine Kama vile Tg, Zantel, Airtel, Voda, Hallotel, Sasatel, Smart....nk...... WANGENYOOKA MAANA SI KWA KURINGA HUKO NA MAKATIZO YAO YA UMEME KILA KUKICHA MALA NGUZO MARA MAREKEBISHO .... NONSENSEishu ya umeme vijijini bado kuna magumashi unalipia zaidi ya miezi miwili na hujaunganishiwa bado ,
Tunaomba tukusikilize mpendwa mteja wetuHawa jamaa bwana, Nashauri serikali wanted outsource kukawa na makampuni Mengine ya uzalishaji na Uuzaji wa umeme Kama walivyofanya kutoka TTCL kukawepo na Makampuni mengine Kama vile Tg, Zantel, Airtel, Voda, Hallotel, Sasatel, Smart....nk...... WANGENYOOKA MAANA SI KWA KURINGA HUKO NA MAKATIZO YAO YA UMEME KILA KUKICHA MALA NGUZO MARA MAREKEBISHO .... NONSENSE
Ndugu mpendwa mteja wetu tafadhali tambua kuwa nguzo haiuzwi bali mteja analipia gharama halisi ya kufungiwa umeme ndani yake panaweza pakawa na vifaa kama mita, wire, nguzo, seal nk hivyo kusema kuwa nguzo inauzwa ni sawa na kusema hivyo vingine pia mteja kauziwaKuna swali nataka kupata majibu kutoka kwenu tanesco,,,inakuwaje nguzo ninunue Mimi alafu iwe Mali yenu?lakini nilisikia kuwa nguzo kwasasa ni bure kwa wateja je ni kweli?nawasilisha
0754228453Tunaomba namba yako ya simu tafadhali
Naomba mnifungulia meter namba 37212825998 ni mpyaJina
Eneo
Kijiji
Namba ya simu
Tatizo
Tunaomba taarifa kamili tuzifanyie kazi mpe dwa mteja wetu
MtaaNiko maeneo ya Arusha mjini kata ya sokon one mtaa wa lolovono mkabala na uswahili street
Ombilangu kwenu ninyi Tanesco hususani wa mkoa huu wa Arusha tunashukuru kwa kutu sambazia nguzo mpaka mitaani pongezi sana..
Lakini kingine napenda kuwaauliza mbona kuna baadhi ya mitaa mmeruka hamkuwapatia nguzo?
Lingine pia ni muda gani unapaswa kusubiri pale endapo unataka kuweka umeme nyumbani kwako toka uchukue fomu..
Huduma za umeme upo kama kawaida nawatu wanaendelea kutumia shida nikwamba zoezi hili liko sloow sana.
Jana nimefungiwa umeme lakini haukuwaka nikaambiwa meter imejilock sijawasha hata taa ndo tatzo nipo bagamoyo. Hii meter inaandika connect baada ya muda inafail nipo vikawe bondeni.0714792012Imefungwa lini? Je ukinunua umeme unapata ujumbe gani? Wilaya eneo na namba ya simu tafadhali
Sijaitumia hata kidogo wanasema imejilockJana nimefungiwa umeme lakini haukuwaka nikaambiwa meter imejilock sijawasha hata taa ndo tatzo nipo bagamoyo. Hii meter inaandika connect baada ya muda inafail nipo vikawe bondeni.0714792012
Naomba msaada japo nione mwanga leo asante..meter no 37212825998Sijaitumia hata kidogo wanasema imejilock