Naomba Kujua, ni utaratibu upi unaotumika Geita kwa sasa ili mtu aweze kuunganishiwa umeme.

Kunayo Kauli ya waziri wa Nishati Bwana Kalemani, ambayo inasema kuunganisha umeme ni TSh 27K kwa Geita.

Naomba ufafanuzi
Fika ofisi ya eneo lako na kitanbulisho chukua fomu utapimiwa na kuambiwa kiasi cha kulipa kisha utalipa na kufungiwa umeme
 
Nichukue hatua gani kwa ofisi zenu Tabata liwiti (posta) kwa kunizungusha kuleta mtu wa survey home na nikiwafata wanasema watakuja mwezi wa pili sasa naomba msaada nifanyeje ili walete mtu wa survey????
Tunaomba jina na namba yako ya simu tafadhali
 
Hivi huu umeme unaokatika kila siku usiku kuanzia saa nane usiku na kurudi saa sita mchana,ni goba tu au ni dar nzima?

Toka jumamosi iliyopita wanakata kila siku usiku
 
Sio goba pekee hata huku mitaa ya Temeke,kigamboni na mbagala ni mwendo wa kuishi na Giza daily
 
Tunaomba jina na namba yako ya simu tafadhali
Ndugu Tanesco, na mimi nichukue hatua gani kwa ofisi zenu Arusha mjini, kwa kumzungusha Mzee wangu kuleta mtu wa survey home kuja kuongeza mita ya umeme ya LUKU ya pili, na Mzee akiwafuata mnasema mtakuja, lakini kimya, sasa naomba msaada nifanyeje ili hili jambo liishe kwa wakati ???
 


tunaomba taarifa zako kuhusu jina, simu, eneo, wilaya yako kwa hatua za haraka
 
Nimelipia meter ya phase III toka 13 July 2019. Nikaambiwa nivumilie kuna changamoto ya meter za phase III. Zikija meter nitataarifiwa. Baada ya kama miezi miwili sikupata simu yoyote nikaenda ofisi za Tegeta. Nikaambiwa bado meter hazipo, zimekuja za waliolipa April 2019. Kwa mahesabu ya haraka ina maana sisi wa July tusubiri mpaka Dec 2019. Huu sio uungwana kabisa. Ela ya mtu mna kaa nayo miezi 6 huduma hamumpi? Mngekua tu wakweli mmwambie mteja meter hazipo, zikija tutakutaarifu ndio ukalipie. Au kwa kua ni taasisi ya serikali hamjali na hatuwezi kuwashtaki? damages tunazopata kuendelea kulipa kodi tukisubiri umeme, mafundi kutumia jenereta, au hiyo ela ambayo ningeiweka kwenye biashara ingezalisha, je mnafikiria hilo? Najua mh waziri unasoma comments zetu humu. Tunachofanyiwa wananchi sio sawa kabisa.
 
Naomba Kujua, ni utaratibu upi unaotumika Geita kwa sasa ili mtu aweze kuunganishiwa umeme.

Kunayo Kauli ya waziri wa Nishati Bwana Kalemani, ambayo inasema kuunganisha umeme ni TSh 27K kwa Geita.

Naomba ufafanuzi
Tafadhali kama.umekamilisha wiring fika ofisi ya TANESCO ya eneo lako chukua fomu kisha utapatiwa gharama halisi ya makadirio
 
NIKO HAPA TANESCO TANKIBOVU MLINZI ANASEMA AMFANYI KAZI LEO JPILI
NA KESHO PIA SIKUKUU
MKURUGENZI ANAJUA HAYA
BODI INAJUA HAYA
 
NIKO HAPA TANESCO TANKIBOVU MLINZI ANASEMA AMFANYI KAZI LEO JPILI
NA KESHO PIA SIKUKUU
MKURUGENZI ANAJUA HAYA
BODI INAJUA HAYA
Jina

Eneo

Tatizo

Simu

Tupo kukuhudumia tunaomba tukusikilize, kurasa zetu za kijamii ni moja ya njia ya wewe kupata huduma muda wote
 
Jina

Eneo

Tatizo

Simu

Tupo kukuhudumia tunaomba tukusikilize, kurasa zetu za kijamii ni moja ya njia ya wewe kupata huduma muda wote
Je ulienda ofisi za wapi? Ofisi zetu zilizokuwa eneo la Tank bovu sasa zimehamishiwa kituo cha rafia njia panda ya kuelekea White sand na jana huduma zilikuwa zinapatikana kama kawaida
 
Tanesco, tunaomba naomba update ya meter. Zinakuja lini?
 
TANESCO kwanini mnabadilishia watu kutoka matumizi madogo kwenda makubwa na wakati mteja hajawahi kukiuka taratibu za matumizi
 
Jamani huku Pugu maeneo Karibu na sekondari umeme kama indiketa,yaani ikifika saa 12 jioni hakuna kinachoweza kufanyika kwa umeme, na ni kila siku, inamaana Tanesco hamuelewi tatizo? KWA SASA NAFIKIRI NJIA RAHISI NI KURIPOTI WIZARANI,TUSHACHOKA,
 
Pongez kwenu kwa kutoa huduma hii lakin mim nna shida ya kupata huduma ya umeme Katika kijiji chetu cha nzasa mkoani Dodoma hakina umeme mpaka sasa ni utaratibu gani ufanyike ili na sisi tupate umeme maana tunaishia kuona tu kwenye vijiji vya jirani natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…