FANYENI TATHMINI YA MATATIZO YA MITA ZENU ZA LUKU NA MTAFUTE PERMANENT SOLUTION. Watu wanateseka sana na mita za Luku. Tatizo ni nini hasa? Mafundi au? Hivi mnajua kinachoendelea?
 
HIvi ni kwanini umeme unakatika sana mkoa wa Pwani hususani maeneo ya Kibaha?

Hakuna meneja wa Tanesco? Mkuu wa mkoa mbona hakemei? Ama kuna watu wanaotaka hivi viwanda vingi vilivyoanzishwa vikwame?

Hii haikubaliki umeme kukatika zaidi ya mara tano kwa siku ilihali mkoa una wasimamizi.
 
Mpaka sasa sina umeme wiki ya pili mita imeungua...nmetoa taarfa lkn wiki nzima bdo tu sijapatiwa huduma

Namba ya taarifa 0214
Namba ya simu 0717306559
Eneo ukonga majumba 6
Meter no 24212285936

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mambo ya ajabu kabisa! mbaya zaidi hawatoi taarifa wanakata kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mtambo unaowaka masaa 24 kwa ajili ya uzalishaji, kwa siku natumia Karibu units kama 15,mara kwa mara nanunua umeme,kwanini watu kama sisi ambao ni wateja wazuri tusipewe nafuu ya umeme,matokeo yake mnatuweka kwenye matumizi ya juu sana,watu ambao umeme 5000 wanakaa nao miezi miwili ndio mnawapa kipaumbele
 
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa Kweli tanesco tangu waanzishe huduma ya Luku Kweli sina lalamiko Na wao hili la kukatika lipo Ila nikilinganisha kile kipindi cha majenereta Kwa Kweli Kwa sasa hivi naona Niko paradise


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…